Kuwashwa uume baada kufanya mapenzi bila Condom

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
Aisee nisaidieni hili tatizo tangu majuzi nasikia uume unawasha washa si kawaida......nina kawaida ya kufanya mapenzi bila condom kwa shori wangu namuamini sana ndio maana nimejilipua ....ila tangu jana nasikia muwasho hivi aiseeesuala la kwamba shori ana maambukizo sio la kweli...kamepima maajuzi vitu vyoote

Tatizo ni nini au hivi vyoo vyetu vya uswahilini?? maana ukienda kujisaidia unajikuta uume kama ni mrefu sometime unagusa sink.....JF Dr nitumie dawa gani?
 
Mkuu naona unasingizia toi,its possible kashemeji ketu kana STD's,angalia tu isiwe pangusa
,better go to the specialist wa hayo magonjwa mkuu,pole sana
 
Mkuu naona unasingizia toi,its possible kashemeji ketu kana STD's,angalia tu isiwe pangusa
,better go to the specialist wa hayo magonjwa mkuu,pole sana
hana gonjwa la zinaa nina uhakika
 
Una uhakika hakali pili pili zilizopitiliza kama Wahindi?:smile::smile:

Babu DC!!
 
Dalili za kwanza kabisa na ngoma ni kuwashwa uume au uke.Hii hutokea kuanzia siku 2 au zaidi tangu mlipongoneka.Ukipima sasa hivi hutaiona kabisa
 
Mkuu possible hao ni fungus kutoka kwa huyo mpenzi wako, nendeni hospitali mtapimwa na kupewa dawa.
Hii kitu inapona kirahisi sana.
 
pole sana mkuu hospital haraka sana nje ya hapo nyeti zitapata majeraha kwa kujikuna na kuongeza maambukizi nje ya hapo tumia dozi ya vitunguu swaumu kwa muda wa wiki kila siku lita moja utapona kama ni fungus
 
Kuna jamaa mmoja alisema yalipata kumtokea hayo. Na hii ni kwa sababu kuna wakati upande wa pili ukiwa hauko kwenye mudi, hivyo akilazimisha, maeneo yale mengine yanatoa mmeng'enyo wenye sumu, ambao unasababisha dhakari kuwasha...Nilicheka kufa! :bowl:
 
Dunia ya leo unamwamini mtu kiasi cha kutoa uhai wako?kuna magonjwa kaka...akikosea step tu akaanguka na wewe unakwenda sababu hauko naye mda wote..sikumwamini mpenzi kwa miaka 6 nilikuwa natembea na condom kama silaha yangu na tulikuwa tunapima mara kwa mara..mpaka nilipomuoa.

Kuwa makini na maisha yako..mapenzi mda wowote yanakwisha bali utateseka wewe na ndugu zako..
 
Dalili za kwanza kabisa na ngoma ni kuwashwa uume au uke.Hii hutokea kuanzia siku 2 au zaidi tangu mlipongoneka.Ukipima sasa hivi hutaiona kabisa
Hii kali mkuu Mkombozi!!! Reference yake ni wapi hapo red?
 
Mkuu inawezekana kuna michubuko ilitokea na hasa kama ulitumia mtandao wa TIGO!
 
Jibu ni rahisi sana... nenda hata dispensary tu ambayo ina maabara kapime choo kidogo inawezekana ni infection au fungus kwa maana magonjwa ya STD kwa mwanaume dalili zinajitokeza haraka sana kutokana na maumbile yetu, unaweza fanya usiku asubuhi kitu kimeitika ila kwa mwanamke anaweza kaa hata mwezi bila dalili yoyote na ugonjwa anao, So ili uwe na amani na uwahi matibabu KAPIME MKOJO FASTA, km ni fungus za kawaida basi tumia GENTROSONE ni dawa ya tube ina rangi ya kijani ila baada ya kupata vipimo kwanza isije kuwa STD.Na kwa ushauri wa bure kwa zama hizi msichana km sio mkeo au mnaishi pamoja under the same roof mnapika na kupakua "USITHUBUTU KWENDA KAVU"
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom