Madokta naombeni msaada huaga inanitokea hali flani ya kuwashwa hiyo sehemu tajwa baada ya kutoka msalani na muwasho unakua Mkali na unadumu kwa dakika kadhaa.
Najikuta nikipata Aibu kujikuna Mbele za watu hivyo kuvumilia miwasho naomben mwenye kujua tatizo anisaidie ikiwa pamoja na tiba yake.
Tatizo jingne linalonisibu ni tumbo kujaa gesi nakukosa Hamu ya kula,matokeo yake kujamba ushuzi wenye harufu kali mpaka mm mwenyew nakeleka.