Kuwasha iPhone 4

Kuwasha iPhone 4

Utaalam wa nini kwenye iPhone 4 jamani?
Hao wataalam wenyewe Apple walioitengeneza wameshaitoa kwenye mifumo yao, utaalam gani unaouzungumzia wewe?

Huu ni unafiki ambao sina, nyeusi naita nyeusi.
M

Jaribu ku focas kwenye kile alichoomba ushauri mleta uzi maswala ya matumizi sijui imetolewa kwenye mfumo hayo ni juu ya mleta mada hata kama ataitumia kwaajili ya kuwashia tochi ni juu yake.
Huwezi kuniambia kwasababu haipo kwenye mfumo ndo mana haiwaki kuna iphone 4 kibao tu zinawaka mpaka leo.
Nakukumbusha tena kichwa cha uzi ni kuwasha hivyo jikite hapo mengine muachie mwenyewe
 
Wewe nani wa kunipangia cha kusema? Nimesema nilichosema, wewe sema unachotaka mtoa mada aambiwe, simple!
 
Ukali wa nini bibie hakuna mtu alimpangia mtu kusema kitu kunywa maji kwanza ushushe jazba pole kama nimekugusa pabaya
 
Ingekuwa ukali ningekuwashia moto tokea post ya kwanza, si unaona nimeenda na wewe kistaarabu tu?

Hizo stress za kugombana na watu wa mitandaoni nazipatia wapi? Niko very calm.
Cheers
 
Naomba mwaliko wa xmass basi
 
mkuu labda kama unataka kujifurahisha nayo tu.

mbali na kwamba itachukua raslimali kadhaa kuwaka,muda,hela,na tumaini.lakini bado haitakupa matokeo mazuri.

kitu pekee utakuta kinafanya kazi kwa uhakika upande wa mtandao ni kuitumia kama router,maana yenyewe kama yenyewe hata safari inaweza isifungue google,achia mbali kukuta cha maana appstore,whatsapp haipo,facebook haipo,insta haipo,ticktock haipo,x haipo nk.

utapiga na kupokea,kutuma sms,torch, na calculator.
 
Sema hii chuma ya kitambo.

Ila mpeni ushauri wadau, Kila mtu anakula urefu wa kamba yake.
 
Back
Top Bottom