Konzo Ikweta
JF-Expert Member
- Oct 3, 2013
- 735
- 1,464
- Thread starter
- #21
SureAlikuwa sahihi kumueleza msimamo wake lakini sio kumuacha mke kumpa ela ya matumizi mama yake mzazi
SureAlikuwa sahihi kumueleza msimamo wake lakini sio kumuacha mke kumpa ela ya matumizi mama yake mzazi
InategemeanaNa siku ukimuacha mkeo unafilisika baraka zako ziko kwa mke wako mpende daima nyie wanaume mkifanikiwa tu huwa shida, halafu acha tabia ya kushirikisha ndugu zako mambo ya maendeleo yako, kulikuwa kuna haja ya wao kujua kuwa mkeo anajenga kwao kweli, jifunzeni kuwa na siri pia wewe ni mwanaume unayejielewa endelea kuwa na mkeo ingekuwa wanaume vichwa panzi wangeshavunja ndoa kisa eti mchagga
Hahahah mkuu una predict divorceHuu ni ushahidi tosha mahakamani siku ndoa ikifa mchango wako ni mdogo sana. Aione mkeo ili irahisishe kugawana mali siku mmeachana.
Tamu zaidi ya asaliHakika, ila hasa mwanaume ukiweza kutambua kuwa ndoa ni yako na kwanini ulimchagua mkeo. Ndoa ni tamu sana.
Mama aliombea watoto sio matumizi yake yeye,Promo ..... Kama ni kweli una tatizo mkuu.....Yaani mama yako aombe fedha kwa mkeo? Kisa, misimamo yako?
Anyway ni kawaida sana vijana walioanza mapenzi utu uzimani na wanaotoka kwenye makabila yenye wanawake wasio na mvuto kulowea kiasi hicho.
Hiki ulichokisema nimewahi kukishuhudia somewhere....A man alikua ni mtu wa ofisin na mke wake darasa la saba..lakini yule mwanamke alikua ana akili sana ya miradi ya biashara...jamaa yule alifanikiwa sana kimaisha...kufika utu uzima mke wake aliuacha ulimwengu....since there jamaa hajakua vzuri sana kimaisha isitoshe alishastaafu...so be careful na mke unayeishi nae..Mungu anaweza kumfanya amana na milango ya baraka ya maisha yako despite of elimu yake au status yake ya maisha ya nyuma.
AminaKwa siku ya jpili. Huu ni ujumbe tosha.
Hii ni kwelisiku akikuua ndo utaelewa na utakuwa umeshachelewa
Wewe mbona kama shemeji mtu? Comment yako imejaa chuki hiviPromo ..... Kama ni kweli una tatizo mkuu.....Yaani mama yako aombe fedha kwa mkeo? Kisa, misimamo yako?
Anyway ni kawaida sana vijana walioanza mapenzi utu uzimani na wanaotoka kwenye makabila yenye wanawake wasio na mvuto kulowea kiasi hicho.
Unataka kutapika?Safi sana huo ndio uanaume sasa.... Hongera Mungu azidi kuibariki ndoa yenu....
Ndugu wa mume =kichefuchefu
aseh pole sana, mke ana nafas yake na ndgu wana nafasi zao, wasiingliane ktk haki.
Jambo la pili ndoa ni watu wawili...
Duh jamaa yangu nilengesheee mdogo wake wallah nipo serious duh kuna wanawake jaman majembe yaani huyo ukianza kumla mambo mpaka unajihisi maupako ila Kuna wengine ukiwa unawala mambo unajihisi mamikosi.
Kweliii nimeamini mke bora Atoka kwabwama yaani wewe ulipomuona2 nafsi ikakwambia ndio mkeo huyoHahahahahahahahaah