Makuwadi wanapata hela
na wanapata connections
wanafaidika na biashara nyinginezo
mfano imagine kuwadi wa Mengi au Mo atakuwaje?
ndo maana kuna kampuni rasmi za ma escorts nchi nyiingi sana
anakuwepo agent..ukimtaka Wema au Wolper unaletewa
hapa Tz zamani kulikuwepo na makuwadi kwenye circle ya miss Tanzania
na ma fasshion designer wanalipwa hadi milioni moja kwa mdada mmoja tu
ukuwadi ni biashara ya siku nyiingi sana na ni biashara kubwa
ukuwadi upo hadi kwenye siasa na biashara zingine
kwani wapiga debe si ni makuwadi pia?
madalali je?