Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,999
- 51,218
Kuwadi ni mtu anayetongoza kwa niaba ya mtu mwingine iwe kwenye mapenzi ama kwenye biashara. Ila usimchanganye na dalali.kwanza maana ya kuwadi ni nini....samahani lakin
Hawa ni watu wawili tofauti kabisa. Huwezi kuniambia mtu anayekuja kumtongoza mke wangu ili akafanye mapenzi na mtu mwingine kuwa anafanana na mwalimu aliyenifundisha kusoma na kuandika!! Hapana hiyo siyo kweli.Kwani mwalimu aliyekufundisha kusoma anafaidika nini????
Kumbee wamekutongozea mkeo,Hawa ni watu wawili tofauti kabisa. Huwezi kuniambia mtu anayekuja kumtongoza mke wangu ili akafanye mapenzi na mtu mwingine kuwa anafanana na mwalimu aliyenifundisha kusoma na kuandika? Hapana.
Ukishirikisha ubongo kidogo utajua kwamba humu JF tunajifunza na kuelimishana kwa Pamoja. Kwa umri wangu siwezi kuleta mambo ya nyumbani kwangu hapa JF hata kwa njia ya Mzunguko kwani kwanza mimi ni "verified User" lakini pia nayaheshimu mahusiano yangu na mke wangu.Kumbee wamekutongozea mkeo,
SOME TIMES MAKUWADI NI WALIMU WA MADOMO ZEGE.
Kwa nini aulizwe yeye?CC: Martin Kadinda
Kwa nini aulizwe yeye?
Dar kuna mambo siku hizi!!Ndie Wakala wa Kina Wema, anakamilisha Maongezi yote we Kazi yako ni kutwanga ngoma
Tangu nikiwa mdogo mpaka sasa huwa sielewi ama sijajua makuwadi (Wa kike na wa kiume) huwa wanafaidika nini kwa kufanya ukuwadi wao?