Kuwa "Too Much selective " kunawagharimu watu kwenye mapenzi.

CHIBA One

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2018
Posts
558
Reaction score
2,102
Katika chaguzi za ni nani mtu ataishi nae kwa maisha yake yote kwenye Ndoa, kumekuwa na tatzo kubwa la watu kutokujua nini wanakitaka.

1.WANAWAKE: utaskia anasema, nataka mtu flan presentable, mrefu, mcha Mungu, handsome mwenye pesa na kazi nzuri.. ( hivi ni vigezo zaidi ya sita....lakini yeye hajiulizi kama anavyo??? Mwisho wa siku wanaangukia kwa HIT and RUN Men ambao siku za kwanza hupretend ni wakamilifu na wastaarabu baadae wanaanza kulia lia.. (Hasa hawa mademu wa kiswahili kimoja viingereza saba)

2. WANAUME.. vigezo vinakuwa vya ovyo ovyo tu.. Kama makalio makubwa, demu mweupe, mweusi, bila kupima lifestyle yake... Unakuta jamaa anapendwa na mwanamke mwenye sifa zote za kuwa mke lakini anaishia kumkosoa eti hana makalio makubwa na si mweupe sana kama atakavyo..

Kama maandiko yalisema mke/mme mwema hutoka kwa bwana basi na tutumie hekima kuchagua!
 
Mkuu kuna farahi ya roho na fahari ya macho.
Unapochagua tabia nzuri na life style ya mwanamke nzuri hiyo ni fahari ya moyo ambayo itakufanya uwe na amani katika moyo wako.

Lakini fahari ya macho nayo ina nafasi yake mkuu,lazima uoe mwanamke ambaye ana kigezo kikuu kinachokuvutia .mfano

Unaweza kutafta mwanamke mwenye chura na tabia njema.

Unaweza kutafta mwembamba na tabia njema

Unaweza tafta mwenye umbo unalotaka na tabia njema,ili upate fahari ya moyo na fahari ya macho.
Ukifanya hivi unakuwa salama zaidi kutulia kwenye ndoa ikiwa kuna hofu ya Mungu moyoni mwako

Ila ukisema sijui tabia njema tuuuu huna umbo wala sura ya kuchagua,utajihisi baadae unakaa ndani na mama mchungaji.

Lazima uoe mwanamke mwenye tabia njema na sifa ya kiungo chake walau kimoja kitakachokupagawisha mwanaume..

Mfano mke yupo kawaida ila ana shepu la kuvuja.

Au yupo kawaida ila ana chura

Au yupo kawaida ila macho mazuri.

Au mweupe n.k
Lazima uchague unayenpenda
 
Maandiko yanasema

Mwanamke na amuheshimu mumewe.
Nae mwanaume ampende mke wake.

Sasa niwasanue wasichan swala la kupenda waachien wanaume, kama hutaki
Basi kila ukipata boi unae mpenda kwa muonekano atakula papuchi asepe
 
Katika chaguzi za ni nani mtu ataishi nae kwa maisha yake yote kwenye Ndoa, kumekuwa na tatzo kubwa la watu kutokujua nini wanakitaka.

1.WANAWAKE: utaskia anasema, nataka mtu flan presentable, mrefu, mcha Mungu, handsome mwenye pesa na kazi nzuri.. ( hivi ni vigezo zaidi ya sita....lakini yeye hajiulizi kama anavyo??? Mwisho wa siku wanaangukia kwa HIT and RUN Men ambao siku za kwanza hupretend ni wakamilifu na wastaarabu baadae wanaanza kulia lia.. (Hasa hawa mademu wa kiswahili kimoja viingereza saba)

2. WANAUME.. vigezo vinakuwa vya ovyo ovyo tu.. Kama makalio makubwa, demu mweupe, mweusi, bila kupima lifestyle yake... Unakuta jamaa anapendwa na mwanamke mwenye sifa zote za kuwa mke lakini anaishia kumkosoa eti hana makalio makubwa na si mweupe sana kama atakavyo..

Kama maandiko yalisema mke/mme mwema hutoka kwa bwana basi na tutumie hekima kuchagua!
Ni sahihi mkuu
 
Msisahau pia hizo chura kuna time zinweza kubadirika zikapwaya na pia sura nazo zinapata makunyanzi,kama ndo vitu vilivyokuwa vinafurahisha macho yako na kukosha nafsi basi vikibadilika utaacha utafute mwingine?mie nafikiri hapa wote tuangalie vitu vya muhimu.
 
Chura nayo muhimu mkuu
 
Mkuu kuna farahi ya roho na fahari ya macho.
Unapochagua tabia nzuri na life style ya mwanamke nzuri hiyo ni fahari ya moyo ambayo itakufanya uwe na amani katika moyo wako.

Lakini fahari ya macho nayo ina nafasi yake mkuu,lazima uoe mwanamke ambaye ana kigezo kikuu kinachokuvutia .mfano

Unaweza kutafta mwanamke mwenye chura na tabia njema.

Unaweza kutafta mwembamba na tabia njema

Unaweza tafta mwenye umbo unalotaka na tabia njema,ili upate fahari ya moyo na fahari ya macho.
Ukifanya hivi unakuwa salama zaidi kutulia kwenye ndoa ikiwa kuna hofu ya Mungu moyoni mwako

Ila ukisema sijui tabia njema tuuuu huna umbo wala sura ya kuchagua,utajihisi baadae unakaa ndani na mama mchungaji.

Lazima uoe mwanamke mwenye tabia njema na sifa ya kiungo chake walau kimoja kitakachokupagawisha mwanaume..

Mfano mke yupo kawaida ila ana shepu la kuvuja.

Au yupo kawaida ila ana chura

Au yupo kawaida ila macho mazuri.

Au mweupe n.k
Lazima uchague unayenpenda
Upo sahihi mkuu,ndo yale mambo unamwambia mkeo tangulia nakuja cos hutaki muongozane
 
Back
Top Bottom