Kuwa single ni raha jamani!

Watu wengine ndivyo walivyo, kusifia vitu ambavyo havistahili kusifiwa. Enjoy
umeona eehh rafiki?
yaani sijikuti kabisa nikielewa hilo somo, lol!
huu wimbo huu........
asante rafiki
 
Reactions: BAK
You cannot live this way forever realise of accostumed pleasure.unajipa tu moyo
 
Ikifika wakati wa kuhitaji ndoa pia jioe we mwenyewe...
 
Hapo nina mashaka napo....
 
Hapo uko mapumzikoni (half time) tu, firimbi ikipigwa fainali utaiona baada ya dakika 90.

Wakati utakapokuwa unapigiwa miluzi na vijana wa saizi ya watoto wako kwa umri wao wakikuita demu, wakati ukifika nyumbani na kutaka kumtuma mtoto wa jirani yako na mama zao wakikujibu zaa wako uwatume. Wakati utakapoanza kuitwa bibi mtaani wakati hujawahi kuwa na babu yao...
 
Kama mtu kaamua kuwa single for sometime let her be, as long as huo u-single sio permanant. Its good to take a break ili kupanga mashambulizi upya. Kila la heri dada na Mungu akupatie wa ubavu wako.
 
You cannot live this way forever realise of accostumed pleasure.unajipa tu moyo

kha!! wee sii jana tuu umetoka lalamika hapa kuhussu vidume wawili...kumbe unajua utamu wa mwanaume lol
 
Kama mtu kaamua kuwa single for sometime let her be, as long as huo u-single sio permanant. Its good to take a break ili kupanga mashambulizi upya. Kila la heri dada na Mungu akupatie wa ubavu wako.

Exactly, you and i read the same page!
 
Mmmmh....unasound kama hauna furaha ya kweli...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…