Kuwa single ni raha jamani!

MPENZI no 3

Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
9
Reaction score
11
Mi ni mwanamke niliyepitia mahusiano kadhaa ya kimapenzi,jamani mapenzi yanauma asikwambie Mtu,tangu nilivyojaribu kuwa single nimekuwa ni Mtu wa furaha,sina maumivu tena,and my happiness is what matters to me,and I cannot sacrifice my happiness for less,kwa sasa imekuwa difficult kuwa na uhusiano simply because am happy with my singleness,I get everything I want ,I m in love with myself,am beautiful ,
Jamani love doesn't hurt,ukiona unaumia toka,and love yourself first
 

well said
 
Psychological instability resulting from pain may lead into a temporary and readily available destiny even though it is not the best desirable for the time being..much as satisfaction is subjective then keeeep going miss single but. ..,Aint you a single hitting lady instead????
 
Acha kujisahaulisha,u can't live all along some time u must find some one who can take good care of u,understand u and much more the one with truly love,au unajichua?!!
 

^^
Nguvu ya mvutano baina ya jinsia mbili tofauti haina adabu..humvuta yeyote ipendavyo.
Hiyo ni furaha ya likizo tu unless ur abnormal.
^^

Naunga mkono hoja!

Najitahidi kupata kisa cha Mungu kumuumba mwanamke, na jibu linalonijia siku zote ni "upweke", upweke hauwezekani kuhimili, wewe endelea kuwa likizo kwa muda tu!
 

Naongeza kidogo!

Nimewafahamu wanawake wengi single kwa nyakati tofauti tofauti, wajane na walioachika kiukweli wana hali mbaya sana kisaikolojia kuliko wanavyoonekana katika hali halisi! hata kwa wanaume pia! ni ngumu kuwa single kwa muda mrefu sana, must admit this!
 
Hapana kuwa single si raha hata kidogo.Unakuwa unakosa vitu muhimu sana kama kujamiiana na hakuna starehe nzuri kuliko zote duniani kama kujamiiana.Tatizo lenu dada zetu mnakubali kuvua chupi haraka hata kwa watu ambao si waoaji.K yako ni kwa ajili ya mumeo na si vinginevyo tatizo mnagawa hovyo.Kijana akikuchumbia halafu akakuta tayari ulishakuwa na mahusiano kwa watu zaidi ya watatu, kijana mstaarabu atakuacha na kwenda kutafuta wa kufanana nae lakini kama alikuwa kicheche atakutumia halafu atakuacha.Mtangulizeni Mungu kwa kila jambo nae atawaonyesha njia salama.
 
^^
Nguvu ya mvutano baina ya jinsia mbili tofauti haina adabu..humvuta yeyote ipendavyo.
Hiyo ni furaha ya likizo tu unless ur abnormal.
^^

Kweli kabisa mkuu and she isnt abnormal coz tayari ameshapitia relation 3

Pia atafute wimbo wa bibie kelly clarkson - Trouble With Love Is amsikilize mwenzake nae alivyokuwa anajiapiza kutokupenda tena na shughuli aliyoipata..
Usicheze na mapenzi ni noma..
 
Pole sana uliingilia mapenzi sijui ukiwa na nia gani maana ulitakiwa umshirikishe Mungu ili umpate mwenza wa maisha yako. Hayo mapenzi uliyokuwa unafanya (umalaya) ni kinyume na mapenzi ya Mungu na mwisho wake huwa ni hivyo ilivyokuwa, na wala usijidanganye kwamba kuwa single ni raha si kweli hata kidogo.
 
Mgonjwa wa maralia akimeza panadol hujisikia kupata nafuu lakini zikiisha panadol mziki huwa anajuta kuzaliwa...

Kimsingi kinachookusumbua sio uhuru baada ya kuwa single ila ni msongo wa mawazo tu ..huku kwetu tunaitaga STRESS....
 

Njoo kwangu mimi siumizi!
 
... The next step;




 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…