Kuwa na wasiwasi muda mwingi

Kuwa na wasiwasi muda mwingi

huo ni ugonjwa wa kitaalam acheni kumchanganya mgonjwa na kuzidi kumtia hofu.wewe unahitaji usaidiwe kisaikolojia na utapona kabisa!usiende kwa sheikh wala usitumie dawa zozote.tumia cognitive behavior therapy itaisha na utasahau
Plus maombezi au maombezi bila hata ya hizo therapy,inakata mara moja,ila tu uamue kuishi kwa kumpedeza Mungu kwani kama alivyoeleza hapo juu Mzizimkavu hua ina uhusiano mkubwa sana na mapepo.
 
Hii hali mi inanitesa sana
nahofia kila kitu mpaka matendo mnayotenda.
hata nikiongea nikifanya kitu
nahofia kurukwa na akili,kushindwa kuji control
niliwahi kuwa na rafiki yangu aliwshi kuchanganyikiwa
imenipelekea kuwa na woga Sana every time

n muda mrefu sasa
 
you are not alone mkuu. Wako wengi wenye hili tatizo. Hii ni kutokana na the way ulivyoishi/lelewa tangu mdogo. Watafute wataalam wa saikolojia upate tiba mujarab
 
Back
Top Bottom