Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,512
- 64,861
Kuwa na mke au mume ni jambo muhimu sana kwa sababu umri unakimbia..na tunakuwa wazee.Ila tunajinyima fursa nyingi sana..hasa sisi tunaopenda totoz,nimegundua katika dunia hii kuna wadada wengi wazuri sana bado wako singo na wanahitaji mahusiano kutokana na idadi ya wanaume kuwa wachache,nimethibitisha hili kwa kuangalia survey mbalimbali kwenye youtube.Tujadili....