One of the disturbing image ever.... Naamini Mungu ni wetu sote... Malipo ni hapa hapa kwenye uso wa hii dunia.Sijui kwa nini nimekosa raha baada ya kuiona hii picha.
Ila KARMA will slap them! Na pengine tayari wameshaanza kulipia kwa walilotenda.
Yaani watu sijui wanadhani hao ni wakina nani hadi kutamani kuua wenzao. Yaani tunaishi kama wanyama. Wao ni simba wengine ni swala.One of the disturbing image ever.... Naamini Mungu ni wetu sote... Malipo ni hapa hapa kwenye uso wa hii dunia.
Yaani nimekaa karibia dakika kadhaa nahuzunika baada ya kuiona. Moyo umemhurumia sana.Sijui kwa nini nimekosa raha baada ya kuiona hii picha.
Ila KARMA will slap them! Na pengine tayari wameshaanza kulipia kwa walilotenda.
UnevenlyYaani watu sijui wanadhani hao ni wakina nani hadi kutamani kuua wenzao. Yaani tunaishi kama wanyama. Wao ni simba wengine ni swala.
That's not fair.

Aise ... Juzi kati nilisikia interview ya alikiba ..alikuwa ana ulizwa kama anafikiria kuwa mwana siasa ........Hatujui alipo.
AiseMniombee
Oops macho yangu au vidonda!
Hivyo si vyuma vimeingia ndani ya mguu?
Ningekuwa ni mimi na mdomo ningeufunga kabisa. Na Tanzania sirudi.View attachment 1149122