Kuwa muaminifi: kwa nini mpaka Sasa hivi haupo kwenye ndoa

rulama

Senior Member
Sep 8, 2014
195
132
Nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali ya kimahusiano na inaonyesha kuwa vijana wengi mmu bado hamjaoa au kuolewa tatizo kubwa Nini ?

Fedha
Familia
Hatujapata tunaowapenda
Single parent
Au ngono siku hizi imekuwa rahisi kupatikana

Karibu kwenye mjadala.
 
Mi nadhani mtu siku akiamua kuoa ataoa, ikiwa hajaamua hawezi oa .


Ila watu wakioa, Ingesaidia sana kupunguza hata Magonjwa kitaa!!
 
Mda haijafika pia mungu ndie apangae hayo pamoja na Nia yangu ila mambele tuna mbeguza machotara
 
Back
Top Bottom