akajui kua mapenz ayaanzi tu paap mkapendana wote for the first time cha msingi atakaye mpata avumiliane naye mpaka itakapo fikia stage kua wamezoeana then waanze kurushiana mito chumbani ila akikurupuka uku jf watakavua bikini tu masikiniHahahaha ngoja wakamfurahishee bora upambane na wa mtaan atakuja tu wa kufanana naye.
Kuna kasamsing nakuambiaaaa.
As a woman, men will meet you at the level you present yourself.Weye umewakimbiza waoaji kwa kuweka hadharani kwamba weye ni mdangaji 😂😂😂
As a woman, men will meet you at the level you present yourself.
Hakunaga rocket science. It is that simple.
So ukiona vichokoraa tu ndo vinakufata you have to evaluate yourself. Uangalie una boogie wapi.
It's part of the package. Anataka a man of her own... amemiss romance za kuamka pamoja... play silly games like pillow fights.😂😂😂😂😂kumbe kurushiana mito KATUZUGA 🤣🤣🤣🤣😜🤣
Yaan wa hivi inahitaji ujue ku drive ballkatoto cha watu kana mapenzi ya kizungu hahaha eti kurushiana mito chumbani
Wa huku jf waongo japo lazima waje Pm jiandae kupigwa na kuachwa uongez donda ndugu
Huyu tunanyoana hadi vuz*Wewe tena nilikuona sehemu usiende pm kwa mdada wa watu utamtmb na umuachee
Ameweka kiunzi mapema[emoji3]Acha kauzibe.
Am sure there are good men in here.
Ila ukijitoa ufahamu utapata chokoraa wenzio tuuu.
Atumie tu akili yake na intuition as a woman. Itamuongoza.
[emoji3][emoji3][emoji14][emoji13][emoji12]Wanaume wazuri huku kwenye 100 unapata mmoja na wengi wao wameoa.
Beautiful sound advice young lady.Pole sana. Lakini upweke unaokutawala ni mind set yako. Jifunze kuwa na furaha au kufanya vitu vitokee hata kama uko peke ako.
Mbona kuna mambo mengi ya kufanya na kukuondoa kwenye lindi la upweke kama ukiamua kubadilisha mtazamo.
Usipende sana kusikiliza maneno ya watu. Funga vioo. Ingawa najua niliyoyaongea yote ni magumu. Lakini kumbuka tunaishi mara moja. Anza kujifurahisha mwenyewe kabla ya kuwafurahisha watu ama kusubiri atokee mtu wa kukufurahisha
Sijaelewa kituLabda unachagua sana.
Standards ni muhimu kuwa nazo but usiwe too rigid.
Of course upweke unataka moyo but you know what is worse ? Being in a relationship where you are in so deep and your partner is just toying with you using you, wasting your time.
Kauzibe tu.Ameweka kiunzi mapema[emoji3]