wote waliochaguliwa vyuo vikuu na waliomaliza na wako makazini!je unasoma kozi ya ndoto yako au unafanya kazi ya ndoto yako
mi binafsi nimebahatika kuchaguliwa kozi ya ndoto yangu MD
mm hapana! Nilikuwa na ndoto ya kuwa mwanasheria au muhasibu ila ndoto zimefutka kutokana na umaskin mpaka nimeamua kuweka education japokuwa cpend kuwa mwl
mimi ndoto yangu ni b sc in geomatics(land surveying) pale ardhi university but ndio hivyo selection tcu bado wamezikalia..but nimeweka first choice!!..hope kila kitu kitakua sawa inshallah
Ndoto! Nilishaota sana na nimesha simuliwa ndoto nyingi sana ila ndoto hizo nyingi zilikuwa ni zakukatisha tamaa na zakutisha tu eg;unaota unakimbizwa na majangili au umelalia hela nyingii.
ILA CKUWAHI KUOTA NITAKUJA KUSOMEA NINI AU NITAKUJA KUWA NANI HAPO BAADAE! Labda nikilala nijaribu kujilazimisha kuota kitu kama hicho.