Kuwa milionea inaanzia sh. Ngapi?

Millionaire: noun (femanine millionairess) a person whose assets are worth one million pounds or dollars or more.
Source: Oxford English Dictionary 11th edition.
Hii inamaana milionea wa chini kabisa awe na Tshs 1,650 x 1M dollars = 1.65Billion.
Unatakiwa uwe unamiliki mali/pesa zenye jumla ya kuanzia milioni elfu moja na mia saba(1.7b Tshs)

UPO SAHAHIHIIIiiii
Kwa Exchange rate ya wiki hii natakiwa uwe na 1.65/1.7 Billion.
 
ukishakuwa na mali zenye thamani ya zaidi ya milioni moja wewe milionea ndo maana siku hizi mamilionea chungumbovu!
 
Jamaa yupo sahihi....usijifanye unaipondea topic kwakuwa wewe hujui jibu sahihi....tupo wengi wenye kiu ya kujua milionea inabidi awe na kiasi gani cha pesa za kitanzania
upo sahihi na mimi nataka kujua sifa kuitwa bilionare na millionare unatakiwa umiliki kiasi gan pesa ya tanzania
 
Kuwa milionea ni jambo likilo kwenye moyo wa mtu.
Kuna wengine wakiwa na nyumba, uhakika wa kula, maji safi na watoto wanasoma kwenye shule zinazoridhisha wanajiona mamilionea.
Kuna wengine wana nyumba 70 Dar es Salaam, Hoteli Mwanza lkn bado hata wewe ukinunua bajaj wanaitamani.
 
One million US dollars, in money (cash, investment and savings) plus your fixed and valuable assets (gari, nyumba, jewelries). Ukifika hapo, you are a millionaire. kuanzia 2 unakua multimillionaire.
FYI, 1$=1600tsh, so 1M=1600M tsh
Correct
 
Back
Top Bottom