Kuwa makini na Utapeli huu wa kazi

Kuwa makini na Utapeli huu wa kazi

wakusoma

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2008
Posts
1,084
Reaction score
1,072
Hallo, am Mr. Stephen from STATSOFT TECH LTD Dar, tupo kikaoni tunapitia CV za kuinterview for I.T PERSONEL post, your cv is good nataka tufanye deal. ntakusaidia upate kazi hii kwa masharti yafuatayo.

Salary ni 1,000,000/= ukipata salary ya kwanza utanipa laki 3 na kabla ya saa 10 jioni uwe umetuma sh. Elfu 50 by tigopesa kwenda namba hiihii, ili nimpe mtu wa interview atanipa maswali then ntakutumia kwenye email, amesema anataka hiyo hela leoleo, utapigiwa simu nikitoka kikaoni lini uje for interview.
 
Hawa jamaa walitangaza zoom kuwa wanatafuta IT pernonel..cha ajabu kila alietuma CV kwao Leo amepata msg Hiii..Hawa ni matapeli...
 
Hivi kuna watu especially graduates wapya bado wanaibiwa kwa style hii? Asante kwa kukumbushana mzee.
 
Naomba mamlaka husika pamoja na jeshi la polisi kuwachukulia hatua kali mtu au kundi linalohusika na utapeli huu kwa mda mrefu.Kwa kuanzia kwa No. 0719734458,Edward Joel <ejoemalando@yahoo.com>; ni ujambazi kama yalivyomatukio mengine ya kiharifu.
 
Mi nilishawahi tumiwa email kama hiyo mara 2! Cha ajabu kampuni ni tofauti lkn maneno ya kwenye email ni ze same! Duuh! Kweli mjini kulala na njaa kuppenda!
 
halafu anataka tigopesa namba yenyewe haijasajiliwa,nimemwambia nitumie namba yako uliyoisajili tigopesa nikutumie kabisa na laki mbili yako,ili nikianza kazi tusisumbuane naona kimya,mimi kaniambia kazi mshahara laki 6,mshahara wa kwanza nimpe laki 2,lakini nimtumie 40000/=
 
Back
Top Bottom