Kuwa makini na staili mpya ya UTAPELI

fundibaskeli

Member
Nov 9, 2016
84
115
Wanajukwaaa leo asbuh nmepata ujumbe huu.....

Nanyi kuweni makin na jumbe kama hizi
1abad5e03084532cbccd4c5580cc96d5.jpg
 
Wako wengi sana wenye utapeli wa namna hiyo: kwa mfano huyu naye 0759914945 ana tabia ya kujifanya amekosea SMS na kuandika kuwa ni mganga na amekusaidia na umetajirika na humkumbuki. Ukimpigia hapokei simu inaita tu, ukimwambia umekosea no.hajibu chochote. Anakaa kama wiki anaandika tena
 
Wanajukwaaa leo asbuh nmepata ujumbe huu.....

Nanyi kuweni makin na jumbe kama hizi
1abad5e03084532cbccd4c5580cc96d5.jpg
Nishawah kuipata ivo ivo kama ilivo nkampigia nkamwambia kutokana hali ilvokua ngumu ajaribu kutafuta kaz nyingine
Au asuburi kuchomwa na vitu vyenye ncha kali na watu wenye hasira
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Ila kiboko yake, iliyotengeneza mpunga mrefu ni ile ya kumtosa Dr na kumlamba EL.
 
Back
Top Bottom