herrypeter1
JF-Expert Member
- Jan 17, 2009
- 223
- 30
mm niliway kumpata hvohvo alniambia eti yupo anaysh na dada wke mama wke masaki, mama wke upo kilwa, akataka 2onane, haunabehaunabe 2kaonana fery posta.. Dah ckuamin cku ya pili antaka aje home alaf 2ende kw mama wke dah 2liway kwnda mala 1 kwa baat nxul nliway ktembea nae kalibu mala kadhaa hv bda kupima HIV kwnza. La haula kumbe dem alikua mke wa m2 tena ana watoto wawil yy na mume wke hazkuenda adi wakaachana hv na vle dm altaka aje home ndo mwnzo nlipokata mawaclian na ye
mm niliway kumpata hvohvo alniambia eti yupo anaysh na dada wke mama wke masaki, mama wke upo kilwa, akataka 2onane, haunabehaunabe 2kaonana fery posta.. Dah ckuamin cku ya pili antaka aje home alaf 2ende kw mama wke dah 2liway kwnda mala 1 kwa baat nxul nliway ktembea nae kalibu mala kadhaa hv bda kupima HIV kwnza. La haula kumbe dem alikua mke wa m2 tena ana watoto wawil yy na mume wke hazkuenda adi wakaachana hv na vle dm altaka aje home ndo mwnzo nlipokata mawaclian na ye
jitahidi kuandika vizuri mbona space ipo ya kutosha tu.mm niliway kumpata hvohvo alniambia eti yupo anaysh na dada wke mama wke masaki, mama wke upo kilwa, akataka 2onane, haunabehaunabe 2kaonana fery posta.. Dah ckuamin cku ya pili antaka aje home alaf 2ende kw mama wke dah 2liway kwnda mala 1 kwa baat nxul nliway ktembea nae kalibu mala kadhaa hv bda kupima HIV kwnza. La haula kumbe dem alikua mke wa m2 tena ana watoto wawil yy na mume wke hazkuenda adi wakaachana hv na vle dm altaka aje home ndo mwnzo nlipokata mawaclian na ye
Wengine wanaomba uwatumie pesa ata uwajui wala ujawai kuwaona live
Ilikuwa ni katika kuchati chati FACEBOOK ndo nilipo weza kuwa connected na mdada mmoja jina Kapuni anayeishi kimanga,
Katika mawasiliano tukapeana namba mdada akaitaji tuonane, siku zikaenda nikaonana na mdada maeneo ya kimanga, stori yake Mwanzo ilikuwa ivi "Yupo anaishi na mama yake na mtoto mmoja ambaye anasema alitelekezwa na mwanaume".
Dada siku ya pili akataka kuja home kushinda, Nikampiga fix natoka Sipo home, Mara akanimbia anaomba kuniona ana shida na mimi kwenda anaanza kueleza mtoto wake yuko dodoma amepigiwa simu na mama yake kuwa mtoto wake yupo atarini na anaitaji nimsadie nauli aende akamfuate mtoto wake, uku akisahau kuwa aliniambia anaishi na mtoto wake na mama yake.
Mwisho wa siku Watu Wote Muwe Makini na Mapenzi ya FACEBOOK msije mkaleta Majambazi Majumbani Mwenu. Kwani naisi imeanza sasa kama kuwa ni mbinu kwa wezi.
ungeandika vizuri ungepungukiwa nini...??
mm niliway kumpata hvohvo alniambia eti yupo anaysh na dada wke mama wke masaki, mama wke upo kilwa, akataka 2onane, haunabehaunabe 2kaonana fery posta.. Dah ckuamin cku ya pili antaka aje home alaf 2ende kw mama wke dah 2liway kwnda mala 1 kwa baat nxul nliway ktembea nae kalibu mala kadhaa hv bda Gkupima HIV kwnza. La haula kumbe dem alikua mke wa m2 tena ana watoto wawil yy na mume wke hazkuenda adi wakaachana hv na vle dm altaka aje home ndo mwnzo nlipokata mawaclian na ye[/QUOT
umenikera kweli.hicho ni kifupi au ni lugha nyingine.
idiot...
Men you a very cheap!!!
yan kuthibitisha hili kuwa na fake account fb weka profile picture ya mrembo tena akiwa na wowowo wanafata kama nzi...inbox hata watu usiowadhani punguzen uhuni na kujirahisisha hvo