Kuwa makini na hili utanishukuru

Kuwa makini na hili utanishukuru

Kumekuwa na matukio ya kuvuja sana kwa picha ama video za maudhui ya ngono, na hili linawapata sana watu mashuhuri

Mfano Gwajima, Chongolo, Nyalandu nk.

Nikikumbuka nikiwa chuo niliwahi kuwa kwenye mahusiano na mdada mmoja mzuri matata hapo chuoni na tulielewana sana, lakini ilitokea kiongozi mmoja akamuelewa yule mdada kiukweli niliishi vizuri sana maana yule kiongozi alikuwa anahonga sio mchezo

Japo wakati wote yule kiongozi yupo na yule mdada mimi pia nlikuwa bado nipo nae, hivyo alikuwa akiwa hana ratiba na kiongozi basi yupo na mimi na bahati mbaya kiongozi alikuwa hana mda

Pesa ilikuwa ni nyingi sana, kuna mda mdada kumuenjoy kiongozi alikuwa anafanya bookings za room yeye kama yeye na anamuita kiongozi kuwa ana hamu nae hivyo aje sehemu hiyo

Aisee mapenzi acheni nyie, pamoja na mimi kunufaika kwa kupata pesa nilianza kuona wivu nikaanza kumuchukia kiongozi, nikaanza kupanga njama za kumuharibia picha

Niliwahi kumuamulisha mdada afanye booking na kiongozi wake aje kisha mimi nikatangulia kwenye hiyo room kurekodi video na nilifanikiwa

Kiongozi hakuwa makini kabisa na usalama wake yeye alijari tu location ya hotel na huenda aliuamini sana ulinzi wa hotel

Kwenye hili la kuvujisha picha ama video lipo kwenye milengo miwili tu ambayo yote inaondolewa kwa njia moja tu

Mlengo wa kwanza ni wewe kuwa na uadui na watu kisha wakaamua kumtumia mpenzi wako kukuchafua
Hawa wadada wa mjini wapo kwa ajili ya pesa, hata kama una mpa pesa kiasi gani akipata dau jingine tu anachukua hivyo anaweza kufanya chochote akipewa dau

Mlengo wa pili ni kutaka umaarufu kwa mtu, una mdada lkn anataka kujulikana kupitia wewe kwamba video zenu zikienda atajulikana

Njia ya kuzuia ni moja tu ni kuhakikisha mara zote mnapokutana booking unafanya wewe, usijiingeze kwenye tabia ya kwenda popote alipopanga mtu wako
Sasa ulivyorekodi ukazifanyia nini hizo video?, au ulikuwa unapigia nyeto?..pumbavu.
 
Nikiona tu mwanaume anatumia jina kike huwa najua kabisaa huu mchele...
 
Japo wakati wote yule kiongozi yupo na yule mdada mimi pia nlikuwa bado nipo nae, hivyo alikuwa akiwa hana ratiba na kiongozi basi yupo na mimi na bahati mbaya kiongozi alikuwa hana mda

Pesa ilikuwa ni nyingi sana, kuna mda mdada kumuenjoy kiongozi alikuwa anafanya bookings za room yeye kama yeye na anamuita kiongozi kuwa ana hamu nae hivyo aje sehemu hiyo
Alikuwa kiongozi wa ngazi gani kwa awamu ipi ili tushabikie uzi wako
 
Back
Top Bottom