Zekidon
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 1,903
- 569
kuna style ya kupiga inaendelea kukua kwa kasi. kama si makini hutaigundua. ila ipo na inatumika.
ipo hivi. ukienda sehemu za starehe zile zenye hadhi kidogo. utakuta kundi kubwa limekaa kunywa vinywaji. katika hilo kundi kuna wanaume wachache lakini wanawake ni wengi zaidi.
wanaume wanakua karibu sana na baadhi ya wanawake katika kundi na kujifanya ni wapenzi wao.
kumbe lote hilo ni kundi la matapeli wanatafuta wakuwaumiza.
wanawake ni warembo haswa na huvaa nguo za gharama kubwa. simu ghali. na hutembelea usafiri wa bei.
kifupi wamejipanga.
utakuwa seduced na wale wanawake kama wameshakuona ni target. they will even send you drinks and invite you to join them.
mwanamke aliyekuvuta kwenye kundi ataanza kuilicit some sensitive info from you. jina kamili. kazi. unapoishi. from there lazima ulizwe.
ukienda sehemu kama hizo kua makini na watu kama hao. ni hatari.
ni hayo tu.