kuwa makini na file la kwenye thread hii "NETFLIX FOR PC RELEASED 2018"

kuwa makini na file la kwenye thread hii "NETFLIX FOR PC RELEASED 2018"

Amani chali angu maana hata sikuelewi unachoongea kusema hivo ndo kosa mzeee...Basi baridi nimekausha
Huyo jamaaa nimesema namfahamu cuz nilimuona telegram na hio dp na user hivo hivo
sawa sasa unajiuliza swali na kujijijbu
,siumesema huyo ni ticha wako alikufunza ethical hacker
 
Daah huyo jamaa ni hatari bas... anatumia njia gani kumwambia victim alipe hyo amount?
hua kunakua na text file(readme.txt) linakua attached ndani ya folder ya mafaili yako yaliyo kua compromised , na malipo ni kwa bitcoin
 
Cjakusoma mzazi
Naona kweli unajitekenya na kucheka mwenyewe, we ni mtu yule yule ID umeifunga jana kuja eti jamaa kanifundisha ethical hacking.
We hata siyo hacker wala hata programmer maana script nzima ya huyo ransom-ware iko online yani ulichokifanya ni kuongeza maneno ya kiswahili na huenda hata hayo mafile umeshindwa kuya transfer kuja kwako na nilipojua kuwa hauko reasonable sijui ndo kushindwa kubadiri hayo maneno wakati ukijaribu ku customize ujumbe eti unadai $3000 nani mbongo akupe hiyo ela.
Halafu huyo ransom-ware ni weak hata nguvu yenyewe hana imenichukua dakika 10 tu kumthibiti na dakika nyingine kama 15 kuja na solution ya kudecrypt mafile yangu na wala sijatumia antivirus kumthibiti na situmiagi antivirus kwenye pc.
Kama we ni hacker hack vitu vya maana siyo kwamba watu hawako makini na vitu vya kudownload watu tuna imani sana na jf maana hakukuwahi kuwa na watu mabwege wakuweka vitu vya kijinga kwa miaka yote humu jf niko hili jukwaa toka 2009 japo nimebadiri ID kadhaa kwasababu ya kula ban kisa kubishana na watu jukwaa la siasa lakni haijawahi tokea akatokea mpuuzi kama wewe akaweka mdudu hili jukwaa limeanza poteza mwelekeo.
 
Hahahha mkuu uko vizuri...
Aisee kwanza ni nyapu gani huyo anasumbua watu
bwege flani anagalia kuna thread humu anajisifu eti ye hacker wakati kaiba tu script za watu na mafile yenyewe aliyofunga nimesha ya decrypt na nimeweka utility ya kudecrypt mafile kwa yoyote aliyefungiwa.
 
unataka nini? haitaji hata forensics analysis kukutambua
new member with 1 post unakuja kusema unamjua new member with 3 post ambaye ni mwalimu wako .
huwezi hata kuhide your identity halafu unajiita hacker,
maana mpaka hapo umeshakuwa exposed...
Haahaaha jamaa ana mambo ya kitoto halafu ya kiboya kichizi inaelekea anahisi watu jf ni kama fb. halafu amekamata watu kwakuwa tulikuwa tuna imani sana na watu wa jukwaa hili hakukuwahi kuwa na mpuuzi aliyewahi weka kitu hatarishi kwa miaka yote niliyowahi kuwa member wa jukwaa hili ndo maana nilipo lidownload browser imenipa warning nime ignore, nlikuwa nina ninataka liinstall nimestuka nikaacha nika rechek nikaona kabsa kuwa ni idm na siyo file la kilichoandikwa still nika ignore.
Jamaa angekuwa hacker asingeshindwa hata mficha vizuri trojan na kuifanya setup isiwe ya IDM ile setup yake hata bila kuinstall kwenye infos zake imeandikwa kabisa ni Internet downloader manager
 
Baada ya muda inatokea window ikiwa na picha ya hacker yani kama illustration ya mtu akiwa amejificha uso then inakuwa maneno yanatokea kama ana type akichanganya kiswahili na kingereza akitushia eti ukizima pc anafuta mafile hamsini sijui umlipe anakupa 1 hr inaanza count down. kafanikiwa encrypt baadhi ya mafile yangu sema nimemuwahi nikazima pc nikaiwashia kwenye safe mode nikakuta katengneza administator account ambayo ndo ina admin preferences na huwezi kuitoa. nlicho fanya nikatengeneza nyingine nayo nikaipa uadimin preference so zikawepo mbili yake na yangu halafu yake nikaipga password ili huyo ransomware wake asiwe na uwezo wa kuitumia ndo nimeweza tumia pc yangu
Dawa yake ni kuitoa HDD kuiweka kwenye pc ingine kama slave. Ukisha kopi files zako format
 
Dawa yake ni kuitoa HDD kuiweka kwenye pc ingine kama slave. Ukisha kopi files zako format
Nishamwondoa kabisa na files zako nisha zirudisha tayari I can assure you jamaa hana hata access ya kumcontrol huyo ransomware jamaa siyo hacker ila kacopy na kupaste tu
 
Jf imepoteza uelekeo...mkuu naomba unisaidie hiyo post yenye huyo virus....niende nikaone anavyo fanya kazi...tumshughurikie
 
Nishamwondoa kabisa na files zako nisha zirudisha tayari I can assure you jamaa hana hata access ya kumcontrol huyo ransomware jamaa siyo hacker ila kacopy na kupaste tu
Huyo jamaa ni mjinga hajui hata hiyo malware INA backdoor anadhani anahack kumbe anadukuliwa mwenyewe
 
Nilitaka kuidownload browser ikanigomea kabisa na kunipa warning na haikunipa hata option ya ku ignore
 
Huyo jamaa ni mjinga hajui hata hiyo malware INA backdoor anadhani anahack kumbe anadukuliwa mwenyewe
Wewe fala unaongea vitu huna hata knowledge navyo

Aliyekuambia tunaweka backdoor kwenye hio kitu nani??

Kama backdoor ningehitaji ningebind vzr na veil evasion framework payloads na hawi detected na ur fucking pcs

Ila yote ya nn

Ndo maanaa nimekufuatilia nikuchek wewe nan nigandua huwez shindana nasi.... So endlea kubwata ila unapoteza power na muda wa kufanya issue zako


Jana umesema unachunguza hio system ila umebwata upo cul....Tuko tunakungoja na hio reverse engeenering yako

Utasema we r script kidz sawa ila remember tunakungoja....

Kwa kusaidia hizo ndio codes za virus chek na make ur reverse engeenering well alafu uone kitakajo kuja humu jf
IMG_20181125_154202.jpeg
IMG_20181125_154300.jpeg
 
Heeeee huyu jamaaa nampata kanifunza sana ethical hacking sasa cjui kwann kafanya iki kitendo. Maana nvyomjua apend ideas zake zitumike kuumiza watu sasa cjui leo imekuaje

Script kiddie sijui mna matatizo gani!? Hata real ethical hackers huwezi kuwasikia wakibwabwaja kama hivi
 
Back
Top Bottom