Kuwa makini na Apps za Mikopo

Bora ya branch liba yao ni nafuu
Halafu branch hata ukope laki tano, hawakupigii simu Wala nini, wewe mwenyewe tu uamue kuwalipa kwa muda unaotaka.
Juzi nilikopa laki Saba nirejeshe ndani ya mwezi. Nataka nifike kiwango Cha kukopa laki nane nione Kama hawatanipigia simu.
Kuna siku niliwapigia kuwataarifu kwamba nitachelewa kulipa kwa siku tano, huyo mdada somebody Wella alinijibu.
"Usiwe na wasi wasi Kaka hatuna haraka kihivyo isitoshe mkopo wako Ni mdogo tu 300,000/"
 
Uwongo
 
Kila mtu anakula urefu wa kamba yake mfano mm niliwakopa pesa x 25k nikarudisha 31k mara ya pili nikakuta wameongeza dau nikakopa 75k hapo ndipo walipoleta miyeyusho nikaachana nao hata bila kuwalipa wanadai mpka wamechoka wakitoa vitisho na mm nawapa vitisho. Kwahyo umechelewa wamekuweza kaa kimya unatakiwa uwaotee kahela fulani alafu wateme hawana jipya. Kipendi cha nyuma nilienda vizuri sana na tala mwishoe wakaleta utapeli wa kijinga nikawakopa na sikuwalipa mpka leo kiufupi hawana hasara ila usisubiri wakuotee
Wabongo hii tabia siyo nzuri kabisa, mnauwa biashara za wenzenu, hebu imagine ungekuwa ni wewe unafanyiwa hivyo ingekuwaje?
 
Back
Top Bottom