Kuwa makini na Apps za Mikopo

Habari

Hawa watu waliokuja ghafla na app zao za kutoa mikopo kwasasa hapa tanzania mbona niwahuni sana

Nimekopa mara ya kwanza sh 25,000 kwa app moja inaitwa cashx kabla ya wiki moja haijafika naanza kupokea cm nirejeshe malipo Yao na riba ni kubwa,

Baada ya hapo nikalipa hela haikuongezeka nikaambiwa nikope ileile kama mwanzo wakati hapo nimelipa hela zaidi ya hiyo ninayokopa nimelipa riba zaidi ya mara 3 mkopo hauongezeki

Sasa nasemaje nasemaje siwalipi, kwasiku wanapiga simu zaidi ya mara 20 ***** zetu silipi, kwanza naenda kuwashtaki kwa kunilaghai kwamba nikilipa napewa mara mbili yake halafu nikilipa nikiwapigia hampokei simu


Wote niwale wale

Pesax
Cashx
Mkopo wako


Hao wote siwalipiView attachment 2660365View attachment 2660364View attachment 2660366
Kukopa harusi....lipa pesa za watu biashara hiyo...mtu akupe tu pesa sio baba au mama yako unadhani hatataka cha juu?
Usingechukua kabisa.
 
Wakuu , nimefika huku , sasa hizi mambo za ID ndo nini tena maana sisi wengine tuna namba za NIDA TUU vitambulisho bado au ndo nini tena wajameni ??,
Screenshot_20230617-192259.png
 
Back
Top Bottom