Kuwa makini ewe binti

Huku ni kualibiana waziwazi, nani amekwambia uwabumbulue hawa viumbe? Umetumwa au!! Acha hizo bhana
 
Hao ndo ninaowataka mim.....
kwanza wanakuwa hawana utoto,ameshaachana na ujana, anajua what woman wants ,ameshajijenga kiuchumi.
My dear future popote ulipo mungu akuzidishie watoto wetu waje kufurahia maisha
 
Posts zako bana mmmhhh...mara haya mapenzi, mwanaume gani, jinsi ya kumgegeda mke wa mtu....mmmhhh....
hebu nipm nikushauri.
 
Ila wanajuaga kuhonga sana halafu hawanaga ile kugandana gandana kihiivyo.
 
Unatuharibia sana, asa unataka kitonga ashuke nani mdau?? Waache waje tu huku ndio kuna mapenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…