Kuwa handsome bila pesa ni kazi kwakweli

hizo sura ndio ninazozipenda mm handsome wa nn mnajikuta mmepangwa kama mia hivi
Hahahaha...reception ni muhimu katika kunogesha maisha.
Amini unaweza pata msaada maofisini au popote kwa reception tu.
 
Kama una swagg halafu mchangamfu, you good.
Hayo yatafunika hivo vingine. Na unaweza kuopoa girl mwenye nazo, asiyehitaji zako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom