Kuwa handsome bila pesa ni kazi kwakweli

Kwani anauza nini hadi niwe na pesa? ujue kuna wanawake wanajiuza bila hata wao kujijua kuwa wanajiuza.
Kabsa jamaa wanawake wengi sana wanajiuza unakuta linakaa tu alijishughulishi wala nn linataka ela lipate kwa mwanaume yan pumba kbsa.. Af utaskia o yani nikupe tu Af kunihudumia atanihudumia nani asa unajiuliza kama ni hvyo anatofaut gan na wanaojiuza mana usipompa atachepuka tu ka sio kukumwaga kbsa
 
Yani unakuta mwanamke anasema kabisa et mie mwanaume asiyekuwa na hela wa nini.
 
Pesa sabuni ya roho. Tangu zamani hilo linajulikana. Ukitaka mademu wazuri we tafuta pesa tu, yaani isake kwelikweli. Watakuja weenyewe na na deko kibao!!
 
Ukitongiza unakubaliwa faster lakini binti akigundua tu hauna pesa anasepa faster,lakini wengine wanakupanga na wanaume wengine wenye pesa
Tafuta fwedha kwa nguvu zote, uhendasome peleka modelling. Ukiwa na pesa utawala hata wanne kwa mara moja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom