Na hilo plastic mkuu.....makuti hayawez kukusaidia sanaHahahahahahahahah
Mkuu makuti yapo hapo juu huwezi iva, bati sawa!
Mchana unakuwa shamba kulimaKipindi cha joto kama siku za karibuni Dsm duuh unaweza kuiva humo
$😁😁😁hapo sawa mkuuMchana unakuwa shamba kulima
Daah! Hapo panafaa kufanya hiyo kazi mwenyewe kama ni pako sababu umepazoea.[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Njoo wikiend hii basi usahidie na kudeki kidogo
Ni kweliPale unapoongelea experience
Haina na za polisi Arusha, zenyewe za bati ,juu chini saize hiyo hiyo, joto baridi zote nomaKipindi cha joto kama siku za karibuni Dsm duuh unaweza kuiva humo
Daah quarter za police ni za ajabu sana na ni maeneo machafu sana,Sijui hawa jamaa wana nnHaina na za polisi Arusha, zenyewe za bati ,juu chini saize hiyo hiyo, joto baridi zote noma