Naomba kuuliza tafadhali, mim ni mama wa mtoto mmoja mwenye umri wa mwaka mmoja wakati najifunguwa huyu mtoto alivutwa kwa kutumia chupa maarufu kama vacuum., je Kuna athari yeyoye mtoto anaweza pata kutokana na hili? Msaada wenu tafadhali
Wakwangu alivutwa kwa vacuum kichwa kikavutika kama papai, nakumbuka mama yake alipoonyeshwa mtoto alianza lia kidogo amkatae sio wake, ika baada ya mda kichwa kilirudi na mpaka sasa ana miaka karibia 4 na yuko vizuri tuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.