Kuvunjiwa vioo vya magari na kuibiwa Laptops

mkuu pole sana!nenda hapo posta mitaa ya bilicanas,kuna jamaa wanakaaga pale!wape issue,waahid donge nono,utapata vitu vyako!mm nshawah kuibiwa laptop,nikatangaza laki 2,jion yake nikaletewa laptop yangu!
 
nenda pale salender police muone oc cid ni muelwa sana,umwambie nia yako,utavipata vitu vyako,cha maana tu uwe tayari kuvinunua hivyo vitu vyako na kumtoa huyo mkuu,kuna jamaa yangu mmoja alipigwa kwa stairi hiyo upanga fire alipata vitu vyake,anawajua wezi wote wa mapigo hayo!
 
Pole sana mkuu. Vipi vioo ni tinted au la? Kama ni tinted hao wezi watakuwa wanakufahamu fika na itakuwa vigumu kuvipata. Next time usiache vitu vya thamani kwenye gari hasa hasa usiku bila ulinzi kumbuka pia kuna funguo bandia.
 
Pole sana mkuu! Nakushauri information nyeti uwe unazihifadhi mawinguni (cloud storage). Ni salama na ni bure! Unaweza kuzi.accsess toka popote duniani. Niliwahi kupigwa pigo hilo na external ya 500Mibs! Toka siku hiyo nikahamia mawinguni!
 
Vioo havikuwa Tinted ila sasa ndio nimeweka tinted nyuma kote
Pole sana mkuu. Vipi vioo ni tinted au la? Kama ni tinted hao wezi watakuwa wanakufahamu fika na itakuwa vigumu kuvipata. Next time usiache vitu vya thamani kwenye gari hasa hasa usiku bila ulinzi kumbuka pia kuna funguo bandia.
 
Pole sana mkuu! Nakushauri information nyeti uwe unazihifadhi mawinguni (cloud storage). Ni salama na ni bure! Unaweza kuzi.accsess toka popote duniani. Niliwahi kupigwa pigo hilo na external ya 500Mibs! Toka siku hiyo nikahamia mawinguni!
Ok thanks for advice Mawinguni naweza kupata storage ya 80 GB?How?
 
mkuu pole sana!nenda hapo posta mitaa ya bilicanas,kuna jamaa wanakaaga pale!wape issue,waahid donge nono,utapata vitu vyako!mm nshawah kuibiwa laptop,nikatangaza laki 2,jion yake nikaletewa laptop yangu!

Kaka bilicanas kwa wapi?au ndani kabisa au kwa wauza mitumba?
 
Kaka bilicanas kwa wapi?au ndani kabisa au kwa wauza mitumba?

Mkuu umefika pale Azam? Nenda pale mtafute jamaa mmoja ngoja niku Pm jina atakusaidia wewe ungea nae vizuri ndio wananua vitu vya wizi.
 
Pole sana mkuu! Nakushauri information nyeti uwe unazihifadhi mawinguni (cloud storage). Ni salama na ni bure! Unaweza kuzi.accsess toka popote duniani. Niliwahi kupigwa pigo hilo na external ya 500Mibs! Toka siku hiyo nikahamia mawinguni!

Mkuu kironde hebu nisaidie hiyo Cloud storage ni kitu gani na kinapatikanaje? Huko mawinguni please, maana hard drive ilikufa nikapata tabu sana na sikuwa na external HDD? Sasa ninayo but nahitahi pia hiyo clouds.
 
Pole sana mkuu! Nakushauri information nyeti uwe unazihifadhi mawinguni (cloud storage). Ni salama na ni bure! Unaweza kuzi.accsess toka popote duniani. Niliwahi kupigwa pigo hilo na external ya 500Mibs! Toka siku hiyo nikahamia mawinguni!
He Mkuu huko mawinguni ndio wapi tena?
 
Pole sana, huwa ninawashauri watu sana kuwa "backup" za kuweka kwenye external HD ni kujidanganya kwa kiasi kikubwa hasa kama unatembea nayo, pia zinakufa at any moment.

At least uwe unachoma kwenye DVD mara kwa mara na kuzitunza sehemu lakini bora zaidi ni kutumia hizi online backup/sync services.

Dropbox 2GB free, zaidi unalipa.

Google Drive 5GB free, zaidi unalipa.

Microsoft SkyDrive 7GB free.

iDrive ambayo ndo natumia mimi nadhani 2 free zaidi unalipa, naipenda hii maana inafocus kwenye backup zaidi za sio kwenye sync.

Hizi za free zinaweza kukutosha ukizingatia ni vitu gani kweli ni muhimu kuviback up, hakuna haja ya kubackup movies au program files ulizodownload somewhere, backup documents, pictures etc hizi mara nyingi size yake ni manageable.
 
Pole sana Mkuu, hao watu inabidi u-deal kwa akili. Kwa wakigundua kuwa unatumia nguvu vitu hutavipata, maana wataviuza haraka sana au kuvivunja mbele ya macho yako, then wanaingia mtaani !!!! Kuwa Mpole, tangaza dau. Halafu uskubali kumpa tu pesa kabla hajakuonyesha mzigo hata mmoja, wana tabia ya kukuletea kifaa kimoja miongoni mwa vilivyoibiwa. Otherwise, matapeli wengine wanaweza capitalize on your issue. Nilishawahi ibiwa taa za gari maeneo hayo, nilikuwa Mpole na kwenda kuzinunua hizo hizo kwa 1/3 ya bei yake pale Mnadani K/Koo.
 
jamani,nipo stranded kama wiki tatu sasa zimepita tangu wamespray na kunivunjiwa kioo cha gari,ilikuwa siku ambayo sunami ingetokea,siku ambayo mvua ilinyesha sana hapa mjini,mida ya saa tatu usiku,maeneo ya upanga,nyuma ya scout wanapaita coconut pub,nahisi jamaa walikuwa na tax nyeupe,wameniibia begi langu,likiwa na laptop mbili(hp pavilion dv5 {imekufa display ya inch 14.5),toshiba),external harddisk aina ya seagate(250mb),original driving licence,kadi 2 za benki(nbc and crdb),camera (sony)ya pink,documents za office,kazi za consulting nilizotakiwa kudeliver a week before sijaibiwa.worse enough ni external hdd niliyokuwa naitumia kama the only back up,ambayo nilitembea nayo ili nikahifadhi data zangu nyingine toka kwa office ina back up of almost four years works done.im almost broke!!!.nimejaribu kufuatilia nimeambiwa kuna jamaa wanaweza kunipatia taarifa nzuri maeneo ya kariakoo au posta.nimefuatilia kupitia jamaa yangu mmoja(1) ambaye alifanikiwa kupewa namba ya hao jamaa wa mishemishe(2) wa kariakoo,wakamwambia watampatia jibu,last time wamemjulisha kuwa huo mzigo upo kinondoni wanapouza/kuhifadhia vifaa vya dili kama hivi,hivyo wakamjulisha(1) kuwa wanafuatilia huko nijiandae kwenda kugomboa,lakini hii sasa ni wiki ya pili jamaa(2) mda mwingine hapatikani,mara ya mwisho alimjulisha jamaa huyu (1)yangu kuwa mda mwingine inabidi azime simu kwa sababu ya inshu zake zinamfanya anatafutwa sana.hivi jana nimepita maeneo hayo nikaiona ile tax nliyokuwa naihisi,ikiwa inaodoka nikaanza kuikimbiza,lakini ghafla ikakata kona na kuingia mitaani,nimeifuatilia usiku,kuna mahali ikawa imepotelea sikufanikiwa kushika namba za gari,sasa naona kama uwezekano wa kuvipata unazidi kuwa mgumu.so wadau plz anyone mwenye ushauri namna gani ya kufanya au mwenye experience kwenye hili au na maeneo haya ya coconut pub naomba ushauri kitu gani kingine naweza kufanya nikavipata hivyo vitu,muhimu zaidi ni ile external hdd.

hii ni organized crime-na polisi wapo wanashidwa kudeal nao-maana kama mtu anaiba then unaweza kumpata na kuzungumza naye na ukampa 'ransom'-sioni umuhimu wa polisi hapa
 
kakak kuana mtaalam yupo maeneo.,mbna v2 vyko vyote unavpata..,inasomwa kitabu npale after 1 week wanakuletea wenyewe kiroho safi..ukiwa tayar 2wasiliane
 
hii ni organized crime-na polisi wapo wanashidwa kudeal nao-maana kama mtu anaiba then unaweza kumpata na kuzungumza naye na ukampa 'ransom'-sioni umuhimu wa polisi hapa

Hao wezi siku wakilogwa wakaingia anga zangu, watajuta kuzaliwa. Si watu wa kuchekea hata kidogo hawa!!!! Hawajali ni kwa kiasi gani watakurudisha nyuma kwa kuchukua vitenda kazi vya mtu. Pumbavu hawa!!!!

Tiba
 
...Worse enough ni external HDD niliyokuwa naitumia kama the only back up,ambayo nilitembea nayo ili nikahifadhi data zangu nyingine toka kwa office ina back up of almost four years works done.Im almost broke!!!.
Ulifanya jambo la kiufundi na la busara sana kuwa na "back up of almost four years," vinginevyo ungekuwa umepoteza data zako za miaka minne. Wameiba back up unazotembea nazo wamekuachia data mahala pengine salama. Basi harakisha ukatengeneza back up nyingine ya data zako, maana kwa sasa huna back up tena, umeibiwa "the only back up" uliyokuwa nayo.
 
Back
Top Bottom