Kuvunjiwa vioo vya magari na kuibiwa Laptops

Pole sana mkuu siku nyingine usirudie kuacha laptop, camera na vitu vinavyofanana na hivyo kwenye gari jamaa wana dawa ya kugundua wewe hujiulizi kwa magari yote yaliyokuwepo hapo kwa nini? waje kwenye gari lako na si gari lingine?
 
Back
Top Bottom