kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,065
- 6,772
Kwanza Nassary nimfuasi wa Magu kama alivyo mnyika. Pili hafai kuwa mbunge maana hajui kuwakilisha na kuhamasisha yeye ni mbinafsi yeye aendelee kufuga nguruwe tu kule maji ya chai. Tatu,lissu kisheria anaweza vuliwa ubunge hivyo nivyema atetee kitumbua chake apate ruhusa ya barua kwa spika.Ukiachilia mbali kuwa huenda labda dogo Nasari ameshanunuliwa kwa hiyo anatafuta namna ya kuunga mkono juhudi bila lawama sana
Lakini huenda move hii pia imefanywa kama maandalizi ya kuweka precedence ya kumvua Ubunge Lissu.
Ni jambo lililowekwa kimkakati ili hatimaye wakshamvua Ubunge Lissu waseme kuwa mbona hamkupiga kelele tulipomvua ubunge Nasari kwa utoro?, Sheria ni msumeno bwana unakata pande zote!
Hata hivyo watabugi sana wakidhani hoja hiyo ina mashiko, Lissu anajulikana kuwa ni mgonjwa, alipigwa risasi kazini, Kapandishwa ndege kwenda kwenye matibabu spika akiwa ameshiriki vikao vya namna ya kumtibu, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu anajua na dunia nzima inajua.
Halafu Lissu sasa hivi ni international figure, Ukimfanyia dhuluma dunia nzima inakushangaa, inakuona dhalimu, unapaka nchi matope.
Hii sinema ya Nasari tumeishutukia, Haiwezi kutufumba macho hata kidogo!!
Nchi nyingi mf. Marekani,china,uingereza,urusi nk. zinafahamika kuwahi kuwamaliza watu wanaohatarisha utulivu na usalama wa nchi na uwepo wa serikali hivyo tusitarajie msaada saana kutoka mataifa makubwa sanasana vyombo vyao vinafki vya utangazaji na vyuo vikuu vyao vya kijinga.
Namsihi Lissu abadilike anaweza kuja kushika nafasi kubwa na kuleta hayo mabadiliko kinyume na hapo ataacha tuu hadithi za kusikitisha kwa wapenda harakati