Kuvuka kutalii Kilwa Kisiwani, gharama nimeambiwa laki moja

Ricky Blair

JF-Expert Member
Mar 13, 2023
391
874
Yaliyonikuta hadi najuta. Nimejikurupusha huko najifanya naenda kutalii hilo eneo nafika kwa kuvuka na pantoni naambiwa niwe na kibali sijui which is km 3k sawa ila naambiwa tena niwe na tour guide sijui au usafiri wangu mw bei inafika zaidi ya 100k nikasema mweh; nitaichekigi hiyo Kilwa kwa Google tu. Upuuzi mtupu.
 
Ungevuka kama wazawa wa pale wanavyovuka kwenda kisiwani.. Mbona huwa pako simple pale! Labda msimu wa mwisho wa mwaka..
 
Bila tour guide hiwezi kuona thamani ya utalii wa malikale. Ni lazima usimuliwe na tour guide.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom