Habari Wana JF natumaini muwazima
Nyuma ya skio kunakuaga na kitu kama kiarage(tezi ya limfu) Jana katika kukaa nilikuta kimevimba na kabla ya hapo juu ya skio nywele zinapoishia nilipata uvimbe uliodumu ndani ya sku mbili ila kwa Sasa umepungua. Je shida yaweza kua ni nn?
Pia nilikwenda hospital wakanipima damu wakaniambia damu inaonekana nisafi,malarai sina ila walinipa vitamin B complex kutokana na miguu kuwaka moto na maumivu ya kwenye UTI wa mgongo na shingo
Naombeni ushauri??