Kuvamiwa kwa Lema: Maongezi yangu na RPC & Barua kwa Mkuu wa Mkoa Arusha

Lema kweli haogopi polisi.Alianza wizi akiwa na umri mdogo sana na ameshakamatwa sana na polisi kiasi kwamba kwake ni kitu cha kawaida.Kinachomfanya akimbie sio kuogopa polisi ila ni kutengeneza drama ili apate umaarufu wa kisiasa.

Mkuu ZeMarcopolo inaelekea unamfahu vyema Mh. Lema hadi kufikia kujiamini kiasi hicho, punguza mun-kari, shambulia kwa awamu baada ya awamu, tupo jamvini.
 
Operation hii ya kuvamia nyumbani kwa Lema iliyofanywa na Polisi huenda kuna maelezo ziadi yanayohitaji kutolewa ili kuufahamisha umma. Huenda ni yale yale masuala ya uhaini, ambapo itabidi aendelee kushikiriwa mpaka uchaguzi wa madiwani upite, kumtia nguvuni unaweza ukawa mkakati wa kimahesabu kuelekea kukomboa kata zilizokuwa zimepokwa CCM. Kwa wanachuo wa Chuo cha Uhasibu Arusha kitakuwa ni kipindi kigumu, maana kufungu chuo kwa muda usiojulikana kunamfanya asijue la kufanya hasa ambaye makazi yake ya kudumu si Arushaha.

mkuu hata wakiamua kumuua Lema leo hii, CCM hawawezi kuzima harakati zetu kamwe.
Arusha mjini CCM haiwezi kuotea hata kiti kimoja cha udiwani.
Inshort CCM arusha wamechanganyikiwa baada ya kujua kuwa huu uchaguzi wa JUNE utaiwezesha chadema kumtoa Meya fake madarakani na kuikabidhi halmashauri chini ya CHADEMA.
May God bless GodBless Lema.
 
mawazo mgando.

viongozi kama nassari ni mzigo kama ccm tu.

Mzee mwanakijiji uwezi kumlinganisha mbunge na Raia wa kawaida sawa kumbuka mbunge ni kiongozi na mwakilishi wa wananchi na aya yaliyojitokeza ni kwa mwakilishi wananchi Sasa basi kama wameweza kufanya kwa kiongozi wao Je wananchi
wakawaida
NB:Mbunge anapigiwa salut na police na sio kwa Raia wakawaida
 
Nyie mnaojiunga JF kwa nia ya kupata fedha za Nape mna shida sana.Unaongea kama mlevi wa chikande.

Wewe una fungus kwenye ubongo wako hujijui tu. Unadhani kila mtu ana akili za kasuku kama wewe? Kila mkiambiwa ukweli mnabwatuka bwatuka eti fedha za Nape. Utadhani kila mtu anategemea fedha za ndiyo mzee kama wewe. Jiheshimu.
 
Kinachofanyika ni kutafuta ushahidi wa rais kuwa ndiye muasisi wa udini kabla hajauwakilisha bungeni kama alivyotakiwa
 
Sio kila kitu ni one to one function ndugu yangu, kuna variability kibao katika hili. Kwa nchi zetu hizi ambazo mbunge ana kazi ya kushawishi, kutetea na kusimamia huduma basics kabisa ambazo serikali ilitakiwa izitoe bila kuambiwa, 'potency' ya mbunge inategemea vitu vingi kidogo...

Kwa mfano, tungesema leo tuweke paper pale bungeni, tuwatest waheshimiwa ujuzi wao juu ya 'mambo magumu'...

1. Sitarajii Nasari kuongoza pepar hiyo. lakini pia sitarajii atakuwa wa mwisho
2. Usitarajie correlation yoyote kati ya matokeo hayo na uwezo wa mbunge kudeliver kwenye jimbo lake

This will be true, at least in Tanzania...

Tuko,ninakubaliana na wewe lakini naomba niongeze kitu hapo kwenye hii point yako.Kama unaweza kukumbuka sentensi ya Zitto akiwa bungeni kuwa kuna viongozi wameishi maisha yao,wameishi maisha yetu na wanataka kuishi maisha ya watoto wetu........Kusema ule ukweli siwezi kulaumu uwezo wa vijana wetu kwa sasa sababu ndio mfumo waliolelewa nao na tukumbuke vijana ndio viongozi wetu wa leo na kesho tumewajengaje?Pia tukumbuke vijana hawa wamechoshwa na hali mbaya ya maisha yao na wanatetea haki yao ambayo kwa upande mwingine viongozi wanawanyang'anya kw akutaka kuishi maisha ya vijana.

Ila tu viongozi wa vyama vya upinzani wanatakiwa kuwapiga msasa vijana wote wanaotaka kugombea uongozi ili wawe na ujasiri na uwezo wa kuongoza.Tusiwapige sana vikumbo ila tuwasaidie ili kesho wawe viongozi waadilifu.
 
Ritz madawa uliyo kamatwa nayo China Ndio yanakufanya uweweseke,
Wewe pigana uwezavyo chadema ikichukua madaraka lazima unyongwe,
Unamakosa mengi sana..unajiona mjanja kwakuwa baba yako ni president, soon utapata mavuno ya ufisadi wako na ujambazi.
 
Tunaomba utupatie sababu za Lema kutembelewa na polisi usiku huu
Sidhani kama polisi wataweza kwenda tu kwenye nyumba ya mbunge kupekua usiku wote huu
Wewe kama mbunge na rafiki wa karibu wa Lema ni lazima utakuwa unajua sababu ya polisi kumtembelea Lema wakati wa usiku.
Tunaomba ili suala hili lisije sababisha uvunjifu wa mani utujulishe kama unazijua hizo sababu hapa jukwaani
KUNA JAMBO!

Hizo sababu unamuuliza Nassari kwani ndiye aliyevamia Nyumbani kwa Lema? Acha utani.
 
Dogo umeleeza kishabiki kama uko kwenye jukwaa la kampeni.

Ulichokieleza hakijaongeza thamani ya taarifa zilizopatikana mpaka sasa.

Elezea upande wa pili wa shilingi angalau kidogo. Je, Lema ameshutumiwa kwa kosa gani? Je, kosa hilo lina ukweli wowote?

Hizo habari za mti mbichi sijui mti mkavu, amani unayojali ni ya Mkoa wa Arusha peke yake etc kaa nazo na vijana wako wana apollo. Ukija JF njoo na taarifa iliyokamilika.

Btw kwanini unajali amani ya mkoa wa Arusha peke yake?

ungekuwa uko mbele yangu na unazungumza muda huu ningekuwa mahabusu muda huu. Nilianza kutoa BASTOLA yangu kumbe niko peke yangu.
 
Wewe una fungus kwenye ubongo wako hujijui tu. Unadhani kila mtu ana akili za kasuku kama wewe? Kila mkiambiwa ukweli mnabwatuka bwatuka eti fedha za Nape. Utadhani kila mtu anategemea fedha za ndiyo mzee kama wewe. Jiheshimu.

Ukweli unauma. Zote shida tu hizi.
 
Cha ajabu M/ Kiti wa Ulinzi na Usalama wa Mkoa ndo anaenda kuanzisha vurugu na hapohapo anatumia madaraka yake vibaya kwakuwatumia PoliCCM.

Jeshi la PoliCCM lina kazi kubwa kurudisha Imani ya Watanzania.
 
Nimepata kwa mshtuko na nikakataa kuamini kama ni kweli kuwa polisi wa Arusha wamevamia na kuizingira nyumba ya mbunge mwenzangu wa Arusha, Lema.

Nimelazimika kumpigia simu RPC kuthibitisha na cha ajabu akaniambia ni kweli.

Nimemshauri kama kiongozi mwenzake mwenye dhamana ya kusaidia kuilinda kweli na haki ili kuleta Amani ya kweli kwenye mkoa wangu wa Arusha. Sidhani kama ni busara kutaka kuvamia nyumbani kwa Raia mwema achilia mbali Kiongozi mkubwa kama mbunge. "Kama watawala wanafanya hivi kwa mti mbichi, itakuwaje kwa mti mkavu" itakuwaje kwa mwananchi wa kawaida anayeishi usa river au unga ltd? Ukifuatilia na kuangalia video ya tukio la uhasibu chuoni arusha, utagundua makosa ya mtawala mkuu wa mkoa, ambaye kimsingi ni mkiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa kuwa sehemu ya sababu ya uvunjifu wa amani, kutokujua hata kusoma saikolojia ya watu.

Nyumbani kwa mbunge hakai mbunge mwenyewe. Kuna watoto akiwemo mwenye umri wa miezi mitano, mke, ndugu etc. Utapigaje mabomu kwenye nyumba hii, bila shaka yatakuwa mauaji. Lema si jambazi, ni kiongozi, ni role model, ni raia mwema sana na mzalendo kwa taifa lake.

Hii wapi sababu ya kuvamia kwake usiku na kuwapa wanafamilia pychological tortue.

Kama amenielewa atasikia, otherwise "truth will always stand" . Tuko tayari na tulishakuwa tayari, hatujashtukizwa. Tunaendelea kuongezewa kura za madiwani arusha juni 16, 2013. Ni vyema watawala wakakumbuka habari ya Farao na Mungu juu ya mateso ya wana wa Israel utumwani. "Mungu akaufanya moyo wa farao kuwa mgumu, ili azidi kujidhihirisha kwa wana wa Israel"

Nassari.
Usiku wa april 25.

wewe nyau mkubwa usiye na hekima acha kudanganya uma ...inamaana hujaona lema alivyowashawishi wanafunzi kufanya fujo?
 
Wewe una fungus kwenye ubongo wako hujijui tu. Unadhani kila mtu ana akili za kasuku kama wewe? Kila mkiambiwa ukweli mnabwatuka bwatuka eti fedha za Nape. Utadhani kila mtu anategemea fedha za ndiyo mzee kama wewe. Jiheshimu.

we unamwambia mwenzio ana fungus kichwani? We una haki ya kutukana hapa JF?
 
Sheria ya kikoloni inamruhusu mkuu wa mkoa kumweka ndani mtu up to 24hrs na asihojiwe na mtu...

Hapa Lema watamtoa jtatu....ndio mbinu za kipolisi hizo.

Inatia hasira sana......
 
Back
Top Bottom