Kuvamiwa kwa Lema: Maongezi yangu na RPC & Barua kwa Mkuu wa Mkoa Arusha

Mimi jamani sijaelewa kabisa hivi mbunge ndo kaongoza mauaji au ameua? Maana kitendo cha kukamatwa na kuwekwa ndani wakati ndo mwenye dhamana ya kulinda na kutetea haki kwa raia wote jimboni hapo why akamatwe?
 
Nimepata kwa mshtuko na nikakataa kuamini kama ni kweli kuwa polisi wa Arusha wamevamia na kuizingira nyumba ya mbunge mwenzangu wa Arusha, Lema.

Nimelazimika kumpigia simu RPC kuthibitisha na cha ajabu akaniambia ni kweli.

Nimemshauri kama kiongozi mwenzake mwenye dhamana ya kusaidia kuilinda kweli na haki ili kuleta Amani ya kweli kwenye mkoa wangu wa Arusha. Sidhani kama ni busara kutaka kuvamia nyumbani kwa Raia mwema achilia mbali Kiongozi mkubwa kama mbunge. "Kama watawala wanafanya hivi kwa mti mbichi, itakuwaje kwa mti mkavu" itakuwaje kwa mwananchi wa kawaida anayeishi usa river au unga ltd? Ukifuatilia na kuangalia video ya tukio la uhasibu chuoni arusha, utagundua makosa ya mtawala mkuu wa mkoa, ambaye kimsingi ni mkiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa kuwa sehemu ya sababu ya uvunjifu wa amani, kutokujua hata kusoma saikolojia ya watu.

Nyumbani kwa mbunge hakai mbunge mwenyewe. Kuna watoto akiwemo mwenye umri wa miezi mitano, mke, ndugu etc. Utapigaje mabomu kwenye nyumba hii, bila shaka yatakuwa mauaji. Lema si jambazi, ni kiongozi, ni role model, ni raia mwema sana na mzalendo kwa taifa lake.

Hii wapi sababu ya kuvamia kwake usiku na kuwapa wanafamilia pychological tortue.

Kama amenielewa atasikia, otherwise "truth will always stand" . Tuko tayari na tulishakuwa tayari, hatujashtukizwa. Tunaendelea kuongezewa kura za madiwani arusha juni 16, 2013. Ni vyema watawala wakakumbuka habari ya Farao na Mungu juu ya mateso ya wana wa Israel utumwani. "Mungu akaufanya moyo wa farao kuwa mgumu, ili azidi kujidhihirisha kwa wana wa Israel"

Nassari.
Usiku wa april 25.

Mheshimiwa Mbunge Nassari, mimi nimmoja wa aliekupigia kura, i am not a CDM member nor CCM, however i do support the right against the wrong. This is happening kwa sababu Lema anatafuta POPULARITY at any cost, na hatima yake ni kujiingiza kwenye kila janga, na kama hakuna janga he hasto create one. Mheshimiwa ni lazima umsihi mwenzako, wewe kama mbunge wa Mkoani Arusha unajua ya kuwa kwa sasa Lema amechokwa sana na watu, ikitokea uchaguzi leo Lema hatapata kura na CDM itapoteza ubunge. Mheshimiwa hebu angalia huyu Bw anavyojiingiza kwenye matatizo ya kila aina either Bungeni, Mikoani, Ndani ya chama nk.... Lema anadhihirisha uhuni wake, watu wanakua na tabia kubadilika lakini huyu bw habadiliki na ni mwiba mkubwa kwetu Arusha.

Ninakusihi Mbunge Nassari usimfatilie huyu mjinga, tafadhali be carefull, Lema is gone case, You are young and Dynamic please build your political career, usitafute umaarufu wa kelele, you a lot at stake. Nakuombea kila la kheri
 
Joshua Nassari

Hatusemi polisi wanaingilia uhuru wa nyumba ya mtu kwa sababu Lema ni kiongozi au Mbunge. Hiyo siyo sababu tosha. Ni kwamba LEma ni raia wa TAnzania na analindwa na sheria na Katiba ya Tanzania. That alone is and only the reason why we oppose this incursion ya jeshi la polisi kwenye haki za raia. Msijiweke katika hali ya tofauti ya kudhania kuwa kwa vile ninyi ni viongozi mna haki zaidi kidogo au mnastahili ulinzi wa haki zenu zaidi.

Haijalishi nani anayetaka kuvamiwa na POlisi tunapaswa kusimamia haki yake kama rais na mwananchi wa Tanzania. Vinginevyo, tutajisikia kupandwa na mzuka kwa sababu kavamiwa kiongozi lakini akija kuvamiwa muuza maharake tutakaa kimya.

Nadhani the point should be kama mtu mwenye hadhi ya ubunge anafanyiwa hivyo, vipi raia wa kawaida? Raia ambao hakuna chombo cha habari kinachofuatilia maisha yao? Mungu aturehemu
 
Last edited by a moderator:
Tunaomba utupatie sababu za Lema kutembelewa na polisi usiku huu
Sidhani kama polisi wataweza kwenda tu kwenye nyumba ya mbunge kupekua usiku wote huu
Wewe kama mbunge na rafiki wa karibu wa Lema ni lazima utakuwa unajua sababu ya polisi kumtembelea Lema wakati wa usiku.
Tunaomba ili suala hili lisije sababisha uvunjifu wa mani utujulishe kama unazijua hizo sababu hapa jukwaani
KUNA JAMBO!
Ovyoooooooooooooooooooo!
 
Dogo umeleeza kishabiki kama uko kwenye jukwaa la kampeni.

Ulichokieleza hakijaongeza thamani ya taarifa zilizopatikana mpaka sasa.

Elezea upande wa pili wa shilingi angalau kidogo. Je, Lema ameshutumiwa kwa kosa gani? Je, kosa hilo lina ukweli wowote?

Hizo habari za mti mbichi sijui mti mkavu, amani unayojali ni ya Mkoa wa Arusha peke yake etc kaa nazo na vijana wako wana apollo. Ukija JF njoo na taarifa iliyokamilika.

Btw kwanini unajali amani ya mkoa wa Arusha peke yake?

Kesi yeyote kama mkuu wa mkoa atakavyoona inafaa....
 
Mheshimiwa Mbunge Nassari, mimi nimmoja wa aliekupigia kura, i am not a CDM member nor CCM, however i do support the right against the wrong. This is happening kwa sababu Lema anatafuta POPULARITY at any cost, na hatima yake ni kujiingiza kwenye kila janga, na kama hakuna janga he hasto create one. Mheshimiwa ni lazima umsihi mwenzako, wewe kama mbunge wa Mkoani Arusha unajua ya kuwa kwa sasa Lema amechokwa sana na watu, ikitokea uchaguzi leo Lema hatapata kura na CDM itapoteza ubunge. Mheshimiwa hebu angalia huyu Bw anavyojiingiza kwenye matatizo ya kila aina either Bungeni, Mikoani, Ndani ya chama nk.... Lema anadhihirisha uhuni wake, watu wanakua na tabia kubadilika lakini huyu bw habadiliki na ni mwiba mkubwa kwetu Arusha.

Ninakusihi Mbunge Nassari usimfatilie huyu mjinga, tafadhali be carefull, Lema is gone case, You are young and Dynamic please build your political career, usitafute umaarufu wa kelele, you a lot at stake. Nakuombea kila la kheri

Nisingefikiri Lema anatafuta cheap popularity! May be tatizo la Lema ni kuwa active zaidi kuliko inavyotarajiwa kwa wabunge. Imagine situation ya uhasibu ambapi yeye anaishi huko halsfu asitokee. Wengi wangekuwa wa kwanza kusema mbunge wao hawajali! Yeye ni mwakilishi wa watu wa Arusha, la muhimu ambalo angejishughulisha nalo ni kuwatetea zaidi watu wa Arusha. Asimamia miradi ya maendeleo, usafi wa jiji, hatma ya waendesha bodaboda na vijana kwa ujumla, wamachinga na wanawake, na swala zima la elimu! Muhimu achunge kauli zake, Joshua Nassari, mfikishie Lema haya
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo kama ametenda kosa kubwa la jinai unataka kuniambia polisi inabidi wapeleke posa ya kumkamata?
Ukumbuke kuwa kuna makosa mengine polisi inawabidi watumie nguvu walizopewa kumkamata mtu wanayemtafuta na kumpekua, kwa mfano leo kuna mtu kaua au kafanya kosa la kigaidi unataka kuniambia kuwa polisi watasubiri mpaka asubuhi ndio wamkamate?

Hebu tuwe serious tuache ushabiki wa kisiasa na tuangalie sheria zinasemaje

We ndio unaongea kiushabiki wa kisiasa...kwa sababu hutaki sheria zifuatwe kwa kuwa ni Lema...
Hizi mbinu na mambo ya kidhalimu kwa nini mnapenda sana kuzishabikia watu wa upande wa pili?
 
Wewe una fungus kwenye ubongo wako hujijui tu. Unadhani kila mtu ana akili za kasuku kama wewe? Kila mkiambiwa ukweli mnabwatuka bwatuka eti fedha za Nape. Utadhani kila mtu anategemea fedha za ndiyo mzee kama wewe. Jiheshimu.
Mkuu ni nini kimeku-irritate namna hii? Ni vema heshima ingeanzia kwako! Kwa statement yako hii tunashindwa kujua nani hana staha kati yako na huyu uliyemjibu. Wote staha zero. Ni hayo tu mkuu.
 
Japokuwa sababu ya kukamatwa kwake haijajulikana, lakini kwa akili na mawazo ya kawaida inaonesha mwenye mamlaka ndiye chanzo cha uvunjifu wa amani
 
kama kuna kitu hawa VIBARAKA WA MFUMO WA KIKOLONI HAWAJAWAHI KUONA NI JINSI MAMBO YANAGEUKA LAKINI SASA MUDA WAO WA KUSHUHUDIA UMEWADIA IMEANDIKWA SERIKALI INAYOANGUKA HUWA INAPOTEZA BUSARA NA HEKIMA KWA KIWANGO KIKUBWA
 
Nakubaliana na wewe mkuu, kwa jinsi huyu dogo alivyotoa maelezo yake ni as if wao kwa kuwa ni wabunge basi wana haki zaidi ya raia wengine wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Inatakiwa haya madudu yanayofanya na police yakemewe katika levels zote kwa kuzingatia katiba inasemaje kuhusu usawa na haki za raia wote.

Alafu mwisho kabisa jiangalieni wabunge wa CHADEMA, mambo mengine mnajitakia wenyewe tu. Lema alitakiwa kupima kile alichoambiwa na mkuu wa mkoa kabla ya ku deliver kwa wanafunzi, kwa maoni yangu ni kwamba wote LEMA na MKUU WA MKOA wameonesha ujinga wa hali ya juu kwenye hili jambo. Na hawana busara za kiuongozi, yaani kweli unaweza kukubali ku deliver upuuzi kisa umeambiwa na mkuu wa mkoa? Kama nawe sio mpuuzi ni nani sasa na tukuweke kundi gani?
Joshua Nassari

Hatusemi polisi wanaingilia uhuru wa nyumba ya mtu kwa sababu Lema ni kiongozi au Mbunge. Hiyo siyo sababu tosha. Ni kwamba LEma ni raia wa TAnzania na analindwa na sheria na Katiba ya Tanzania. That alone is and only the reason why we oppose this incursion ya jeshi la polisi kwenye haki za raia. Msijiweke katika hali ya tofauti ya kudhania kuwa kwa vile ninyi ni viongozi mna haki zaidi kidogo au mnastahili ulinzi wa haki zenu zaidi.

Haijalishi nani anayetaka kuvamiwa na POlisi tunapaswa kusimamia haki yake kama rais na mwananchi wa Tanzania. Vinginevyo, tutajisikia kupandwa na mzuka kwa sababu kavamiwa kiongozi lakini akija kuvamiwa muuza maharake tutakaa kimya.
 
Last edited by a moderator:
Tunaomba utupatie sababu za Lema kutembelewa na polisi usiku huu
Sidhani kama polisi wataweza kwenda tu kwenye nyumba ya mbunge kupekua usiku wote huu
Wewe kama mbunge na rafiki wa karibu wa Lema ni lazima utakuwa unajua sababu ya polisi kumtembelea Lema wakati wa usiku.
Tunaomba ili suala hili lisije sababisha uvunjifu wa mani utujulishe kama unazijua hizo sababu hapa jukwaani
KUNA JAMBO!

Hivi wewe upo UK ya UKonga,Ukerewe au UK us David Cameron??!! Hakika wewe ni mtu mzima lakini mpuuzi sans,so ni wewe unapigaga kelele Lema kala hela,umemnunulia nguo,mara kabaka Uk,then unakuja na maswali yakipuuzi wakati 24/7 upo jf na propaganda zako za kipuuzi za kuombea tender ya TBS??!! Maza Fanta!!!
 
Wewe dogo usilete ushabiki eti Lema ni role model Lema si jambazi nani kakuuliza mara Lema ana mtoto ana miezi sita.

Toa sababu ya polisi kufika hapo mbona polisi hawajaja kwako.

Unaleta habari kama upo kwenye kampeni za Chadema.

Your Class position determines your thinking...
 
Tunaomba utupatie sababu za Lema kutembelewa na polisi usiku huu
Sidhani kama polisi wataweza kwenda tu kwenye nyumba ya mbunge kupekua usiku wote huu
Wewe kama mbunge na rafiki wa karibu wa Lema ni lazima utakuwa unajua sababu ya polisi kumtembelea Lema wakati wa usiku.
Tunaomba ili suala hili lisije sababisha uvunjifu wa mani utujulishe kama unazijua hizo sababu hapa jukwaani
KUNA JAMBO!

Kama kuna Vilaza wewe ni kiranja wao! Hata kama nikipigwa BAN! Wewe ni mbumbumbu wa kupindukia. Naanza kuingiwa na wasiwasi wako wa kufikiri na kuelewa. Funga bakuli lako nyambafu!
 
Mimi jamani sijaelewa kabisa hivi mbunge ndo kaongoza mauaji au ameua? Maana kitendo cha kukamatwa na kuwekwa ndani wakati ndo mwenye dhamana ya kulinda na kutetea haki kwa raia wote jimboni hapo why akamatwe?

Mbunge anaweza kukamatwa kama ilivyo kwa raia yeyote. Swali ni je, taratibu zilifuatwa? Kwa hadhi ya ubunge, ingetosha sana kupewa samansi, na kukamatwa kungefuata kama amekaidi wito huo. Je ilikuwa hivyo? Wasiwasi wangu ni kwamba kama ambavyo RC alisema fujo hizo ni za kisiasa, isijekuwa kukamatwa huku ni kwa kisiasa pia!
 
Mheshimiwa Mbunge Nassari, mimi nimmoja wa aliekupigia kura, i am not a CDM member nor CCM, however i do support the right against the wrong. This is happening kwa sababu Lema anatafuta POPULARITY at any cost, na hatima yake ni kujiingiza kwenye kila janga, na kama hakuna janga he hasto create one. Mheshimiwa ni lazima umsihi mwenzako, wewe kama mbunge wa Mkoani Arusha unajua ya kuwa kwa sasa Lema amechokwa sana na watu, ikitokea uchaguzi leo Lema hatapata kura na CDM itapoteza ubunge. Mheshimiwa hebu angalia huyu Bw anavyojiingiza kwenye matatizo ya kila aina either Bungeni, Mikoani, Ndani ya chama nk.... Lema anadhihirisha uhuni wake, watu wanakua na tabia kubadilika lakini huyu bw habadiliki na ni mwiba mkubwa kwetu Arusha.

Ninakusihi Mbunge Nassari usimfatilie huyu mjinga, tafadhali be carefull, Lema is gone case, You are young and Dynamic please build your political career, usitafute umaarufu wa kelele, you a lot at stake. Nakuombea kila la kheri

POLE na nani kakwambia kuwa Lema hakubaliki! Acha kutusemea you are neither CDM nor CCM then?
 
You can answer in anyways you want guys, you can edit, copy and paste after being driven by your emotions..... but I tell you men..... The topmost level of this country's governing body is the weakest link........ I tell you most solemnly...... KIKWETE and his disputed government are the weakest links!!!!!!!!!! If I'm to connect the dots.... I can imagine your political orientations and the extent to which you have been brainwashed and negatively deformed!!!!! Only time will tell.Genekai!!!!

Hao ni vichwa maji wagumu wa kuelewa....kwao elimu ndio akili...
"Charity begins at home" jaribu kuangalia uongozi kuanzia ngazi ya familia...kuna akina baba wana elimu ndogo but akili kubwa na maarifa wameweza kufanya mambo makubwa ambayo ni urithi kwa watoto wao...
Tatizo watanzania wakipata masters ya logistics anataka kujifanya anajua hata mambo ya uchumi na sheria!
Hizi ndio akili ndogo!
 
Kwahiyo Kikwete ndiye aliyemwambia Lema asababishe vurugu na kukimbia polisi?

Kabla ya kupiga mabomu amri ya kwanza huwa ni tawanyika...na hata wasiposema lengo ni kuhakikisha mnatawanyika kwa kukimbia hovyo ili wapate mwanya wa kukwapua simu,wallet,laptops na kila aina ya watakachoona valuable!
 
Sure!! The end is on the way....no matter how much they will torture us, the truth shall always stand!!! Kwa hakika siku ya ukombozi i karibu sana, tusivunjike moyo, tujipe moyo na tuendeleee na mapambano, hakuna hata siku moja ambapo jeshi liliwahi kushinda bila ya msada wa wananchi, kumbuka ya Uganda, wanajeshi wa tz wasingeshinda kama si msaada wa watu wa UGANDA, TUTASHINDA, hata kama Lema, Dr. Silaa, Mbowe, Arfi, Zitto, na wengine wote ambao ccm wanafikiri kuwa ndiyo chachu ya CHADEMA, bado mapinduzi ya HAKI yatafanyika, japo inaweza kuchelewa, lakini SIKU ITAFIKA TU. Tusikate tamaa, tuendeleee kupamba kila tunapokuwa!!! Walaaniwe wote wanalifanya taifa hili kuwa ni lao peke yao as if MUNGU ALIWAPWA HATI MILIKI...
 
Back
Top Bottom