Kuvaa hijabu shule ya seminary; double standard au?

Babumawe

JF-Expert Member
Sep 12, 2014
2,556
2,560
Double standard au?

Mtoto wa ndugu yangu kachukua fomu ya kujiunga school moja hapa mjini ya Islamic (sitotaja jina) kaambiwa kuvaa hijabu ni lazima na kama hatoweza basi hatohitajika (yeye ni Mkristo).

Kwa upande mwingine mbona wanafunzi wanavaa hijabu shule za seminary na ikitokea shule ikikataza basi suala litafika mbali zaidi hadi serikalini kwamba itasemekana hiyo ni suala la imani.

Hii imekaaje wadau?
 
Shule za kikristo zilivyo nyingi hivyo kwanini mwende kuwabugudhi hao watoto wa Ishmael. Mnatafuta maneno tu
Hizo ndio taratibu zao. wewe unataka nini hapo
jiheshimu mkubwa
 
Kwani kalazimishwa kusoma hapo, huwezi kwenda kila mahali vile unataka wewe. Hutaki avae hijab mpeleke wasipovaa hijab acha uchonganishi hapa
 
Mnawapangia na taratibu zao,chuo kikuu Cha kiislamu morogoro,uwe mkristo uwe muislamu,hijabu lazima,Tena unabakisha macho tu,na wakristo kibao wanasoma na wanaendelea kubaki na ukristo wao.
 
Ulichoandika paragraph ya pili ndo double standard yenyewe sasa!!! Hujaeleweka
 
Double standard au?

Mtoto wa ndugu yangu kachukua fomu ya kujiunga school moja hapa mjini ya Islamic (sitotaja jina) kaambiwa kuvaa hijabu ni lazima na kama hatoweza basi hatohitajika (yeye ni Mkristo).

Kwa upande mwingine mbona wanafunzi wanavaa hijabu shule za seminary na ikitokea shule ikikataza basi suala litafika mbali zaidi hadi serikalini kwamba itasemekana hiyo ni suala la imani.

Hii imekaaje wadau?
Kuna shule moja huko kusini ya kikristo hiyo shule uwe muislamu ama mkristo kanisani ni lazima utake usitake.

Sasa suala usipige kelele tafuta shule inayoendana na matakwa yako.
 
Double standard au?

Mtoto wa ndugu yangu kachukua fomu ya kujiunga school moja hapa mjini ya Islamic (sitotaja jina) kaambiwa kuvaa hijabu ni lazima na kama hatoweza basi hatohitajika (yeye ni Mkristo).

Kwa upande mwingine mbona wanafunzi wanavaa hijabu shule za seminary na ikitokea shule ikikataza basi suala litafika mbali zaidi hadi serikalini kwamba itasemekana hiyo ni suala la imani.

Hii imekaaje wadau?
Ni sawa kama ni shule ya dini... mbona seminary za mkiristo wanasali sala ya bwana???? Umeandika bila kulinganisha
 
Back
Top Bottom