Ahsante mkuu masharti gani hasa unapewa?Ukitolewa figo kuna mashart unapewa ili uweze kuishi na figo moja ambayo itakua active muda wote. Na endapo figo uliyobaki nayo ikapata tatizo you are dead n gone maana ndio hiyo tu unaitegemea
Nimekuelew mkuu.Figo moja nayo itafanya kazi ile ile iliyokuwa ikifanywa na figo mbili,ila ikipata shida utakufa,because spare yake ushauza tena....
Ushauri.
Pesa inatafutwa,uhai hautafutwi,ijapokuwa kuwa na figo zote sio life warrant.
Nina fahamu sana kuwa sjakujibu sahihi. Kwani hata wewe unajua wazi kutoa figo ni hatari ndo maana umeanzisha uziDuh, Haya mkuu ngoja nisubiri majibu mengine