kwanza niwape pongeze Kikuu Tanzania, ambayo ni kampuni inayouza bidaa nchini kwa njia ya mtandao.
nimenunua bidhaa kwao na hawana usumbufu kabisa.
HITAJI LANGU;
nimevutiwa kuuza kupitia Kikuu,
ninahitaji kujua hatua za kufuata ili kuwa muuzaji katika Kikuu,
au kama kuna mwenye maelezo zaidi anisaidie tafadhali.