Habari zenu, naomba mwenye kujua anisaidie nipo na bidhaa yangu nataka kuuza siku nyingi ila kila nikijaribu naona nakwama toka kikuu ifungwe natamani kuuza kwenye hizi online shops kama hizo, amazoni,alibaba na alibaba and so.
Asanteni
Sio kwel, platform zote unaweza kuuza na kununua bidhaa, kikubwa ni yeye kufanya mawasiliano na kampuni husika Ili apewe utaratibu wote jinsi ya kufanya nao biashara,
Platform ni kwaajili ya kumkutanisha mteja na Muuzaji