raia tz Member Joined Nov 21, 2011 Posts 89 Reaction score 16 Dec 19, 2011 #1 Wana jf habari zenu,nina moderm ya sasatel ni zile ambazo hauweki line(in built line),sasa nahitaji kuiunlock ili nitumie line zote,wanaziita cdmi(kuna mtaalam kaniambia jina hilo) nifanyaje wakuu.
Wana jf habari zenu,nina moderm ya sasatel ni zile ambazo hauweki line(in built line),sasa nahitaji kuiunlock ili nitumie line zote,wanaziita cdmi(kuna mtaalam kaniambia jina hilo) nifanyaje wakuu.
serio JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 7,354 Reaction score 4,771 Dec 19, 2011 #2 i also need this
P Paul S.S JF-Expert Member Joined Aug 27, 2009 Posts 6,411 Reaction score 3,280 Dec 20, 2011 #3 Haijapata ufumbuzi kwasasa mkuu ni kama haiwezekani. Na ukiweza utaitumia kwa ttcl na zantel tu ndio wanatumia mfumo wa cdma
Haijapata ufumbuzi kwasasa mkuu ni kama haiwezekani. Na ukiweza utaitumia kwa ttcl na zantel tu ndio wanatumia mfumo wa cdma
raia tz Member Joined Nov 21, 2011 Posts 89 Reaction score 16 Dec 20, 2011 Thread starter #4 Ok thanks mkuu,na stuck