Kuunganisha vitega uchumi baada ya ndoa

Kuunganisha vitega uchumi baada ya ndoa

nachasudwa

Member
Joined
May 17, 2015
Posts
72
Reaction score
34
Wanajanvi naomba msaada wa mawazo yenu,
Lipi sahihi kwa mume na mke kuunganisha vitega uchumi baada ya ndoa au kila MTU kubaki na vitega uchumi vyake na kushilikishana kimawazo na kusaidiana katika kukuza uchumi wa familia
 
Kama kweli mlioana kwa mapenzi hata mishahara yenu inaingia kwenye account moja. Si mmekuwa mwili mmoja?
 
Ni vizuri tu hakuna ubaya mradi mmekubaliana wote kwa pamoja bila shinikizo.
 
Back
Top Bottom