Kifaranga
Senior Member
- Jan 6, 2011
- 144
- 31
Wakuu nafikiri mko pouwa,
Sijui kama nitakuwa nimeweka kwenye jukwaa sahihi kama sivyo mods watanisaidia kupeleka kwenye jukwaa sahihi.
Ishu yangu ni jinsi ya kuunganisha maji ya DAWASCO / DAWASA kutoka kwenye mabomba yao kuja kwenye nyumba yangu. Jee nikiweka tanki (simtank) langu juu (nina kizimba cha maji cha kama mita 4 hv usawa wa paa la nyumba yangu) maji yatapanda kweli au ninatakiwa niweke tank langu chini kwani nahisi presha itakuwa sio kubwa hvyo maji hayatapanda.
Na jee kama nikiweka juu ninaruhusiwa kuweka pump ya kuvuta maji au pump hairuhusiwi na DAWASCO (kuunganisha pump kutoka moja kwa moja bomba la Dawasco lililokuja kwangu mpaka kwenye tank langu ambalo lipo juu).
Nilisikiaga kuwa DAWASCO hawaruhusu pump yeyote kutokea kwenye meter zao mpaka kwenye kisima changu labda uweke kisima cha chini.
Gharama ya kuunganisha ni kama shilingi ngapi na vitu vingine vinavyohitajika kwa ajili ya kuunganishia maji mpaka yatoke.
Nawasilisha asanteni.