Kuunganisha Internet kweye Ofisini

Kuunganisha Internet kweye Ofisini

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,522
Reaction score
14,004
Wadau JF Heri ya Krismas na Mwaka Mpya 2014.!

Naomba nipate msaada kwa mwenye kujua.Nataka kuunganisha Internet ofisini kwetu kwa kutumia Router ambayo inatumia modem,lengo ni kuanza kutumia Internet yenye kasi kupitia mitandao mbalimbali ya simu.

1.Naomba kujua Router aina ipi ni nzuri zaidi ya bei yake.

2.Mtandao gani wa simu ni mzuri kutumia uwe na kasi na gharama nafuu.?
Hivi sasa tunatumia TTCL ina iko slow sana na huwa inakatika katika mara kwa mara.

Nitashukuru ushauri nikiupata hapa jukwaani au PM au 0787140432.
 
Ungeenda jukwaa la sayansi na teknolojia ungesaidiwa vizuri sana
 
Asante,ila naamini wanaotembela hapa (Matangazo madogo) ndio hao hao wanaotembelea jukwaa la Sayansi na Teknolojia.
 
Wee unaelekezwa unaleta jeuri, haya subiria.

Mkuu we muache na majibu yake ya ajabu, mimi ni mtaalam wa mambo ya IT nimemuelekeza kule ili nikichangia uzi wake waje wataalam wengine ambao watamuelekeza zaidi, sio wote wanaotembelea jukwaa la teknolojia wanaotembelea jukwaa hili
 
Nimesha post wakuu kwenye jukwaa la Sayansi na Teknolojia.
 
Wadau JF Heri ya Krismas na Mwaka Mpya 2014.!

Naomba nipate msaada kwa mwenye kujua.Nataka kuunganisha Internet ofisini kwetu kwa kutumia Router ambayo inatumia modem,lengo ni kuanza kutumia Internet yenye kasi kupitia mitandao mbalimbali ya simu.

1.Naomba kujua Router aina ipi ni nzuri zaidi ya bei yake.

2.Mtandao gani wa simu ni mzuri kutumia uwe na kasi na gharama nafuu.?
Hivi sasa tunatumia TTCL ina iko slow sana na huwa inakatika katika mara kwa mara.

Nitashukuru ushauri nikiupata hapa jukwaani au PM au 0787140432.

Kumbe ni Tangazo?!..haya.
 
Back
Top Bottom