kuunga mkono Hoja kwa 100% bungeni inamaanisha nini?

kuunga mkono Hoja kwa 100% bungeni inamaanisha nini?

Hao ni wabunge Vilaza, wabunge Dhaifu wa ccm, wasaliti na wanafiki, wanunua ubunge, na watu waliokosa uzalendo, wananchi amkeni mwaka 2015 tusiwe na mbunge toka sisiem, ni aibu
 
kweli bunge letu ni mzigo kwa watanzania na matumizi mabaya ya kodi zetu.
Wengi wa wabunge wa ccm hawaelewi wanachopaswa kufanya wakati wanachangia budget.
Asilimia nikiswahili cha neno 'pour cent', per-cent. Sasa asilimia mia tatu sioni kama ina maana yoyote.
Kinachofanyika ni kutafuta ushindi wa ushabiki wa vyama, si mahitaji ya watanzania walala hoi wa vijijini.
 
Hawa wabunge wa ccm ni wapuuzi na wabunge wa ccm viti maalum ndio wapuuzi kabisa. Hiyo mimama ndio inanikera kabisa, inasimama na kusema naunga mkono bajeti hii 300%, na yanaendelea kusema bajeti ya kutegemea pombe sio bajeti wanaendelea na bla bla kibao. Natamani viti maalum vife hiyo mimama mizee iende vijijini. Mtu ukisema naunga mkono bajeti 100% inatakiwa ukalishe makalio chini kwani ni ya manufa kwako na jimboni kwako.
 
Back
Top Bottom