Kuunda umeme wa kinyesi Cha binadamu

Kuunda umeme wa kinyesi Cha binadamu

Rusumo one

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
3,537
Reaction score
4,435
Wakuu habarini za jumapili. Rejeeni mada hapo juu nipo dillema Sina umeme hapa nyumbani kwa miezi 5 Sasa toka nilipie nguzo Moja tanesco Kila Leo nguzo hakuna na watoto kusoma prepal Ni shida yaani hapa Ni kula na kulala tv mpaka kwa jirani Sasa choo kipo fresh tu naombeni mbinu za kutosha niunde umeme wangu wa kinyesi chetu hapa home ili tupate nishati ya umeme soon huku tukisubiri umeme wao.Nb.naomba kujua vifaa vipi vya huu mradi wangu mpaka umeme uwake kinyesi kipo ok abc nyingine ndo mtihani.KARIBUNI WADAU WA TEKINOLOJIA YA NISHATI YA UMEME.
 
Hata ww iyo ya umeme wa Kinyesi ni nadharia tuu
Hii ya umeme wa kinyesi siyo nadharia mkuu Ni ishu yenye logic mfano was biogas ya umeme wa kinyesi Cha ng'ombe na pia Ni ajira lazima tucheze na fursa mi naishi bush na huku umeme Ni shida/tatizo Sasa hujui tatizo hutengeneza fursa ktk Jamii?
 
Mkuu wewe ni mimi au?,nimelipia sasa huu mwezi Wa tatu lakini kila Mara napigwa kalenda tu,kwa kweli serikali inabidi iwamulike hawa tanesco kwa ukilitimba wao wao Wa kukaa na pesa za watu bila kutoa huduma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha

Hapana wewe siyo Mimi Bali Mimi Ni wewe mkuu naomba tuyajenge tuunde umeme kinyesi wetu shida huzaa fursa
 
Any way. Mm ni mtaalamu wa umeme. Kinyesi cha binadamu huwezi tengenea bio gas. Hata kinyesi cha wanyama kinachotumika kutengenezea bio gas sio cha wanyama wote. Inategemea na makundi ya vuakula wanachokula
Hii ya umeme wa kinyesi siyo nadharia mkuu Ni ishu yenye logic mfano was biogas ya umeme wa kinyesi Cha ng'ombe na pia Ni ajira lazima tucheze na fursa mi naishi bush na huku umeme Ni shida/tatizo Sasa hujui tatizo hutengeneza fursa ktk Jamii?
Na umeme wa kinyesi cha binadamu ambao mara zote watu huwa wanaongelea ni umeme wa DC ambao watu hutumia Battery/ Dry cells ambazo hufungwa na kutumbukizwa kwenye Ceptic tank ambapo kutokana na reaction ya kinyes na joto kali hupelekea chemical reaction kwenye battery na hivyo battery kuzalisha umeme mwingi na stable kwa muda hadi ambapo chemikali za battery zitaisha nguvu
 
Any way. Mm ni mtaalamu wa umeme. Kinyesi cha binadamu huwezi tengenea bio gas. Hata kinyesi cha wanyama kinachotumika kutengenezea bio gas sio cha wanyama wote. Inategemea na makundi ya vuakula wanachokula Na umeme wa kinyesi cha binadamu ambao mara zote watu huwa wanaongelea ni umeme wa DC ambao watu hutumia Battery/ Dry cells ambazo hufungwa na kutumbukizwa kwenye Ceptic tank ambapo kutokana na reaction ya kinyes na joto kali hupelekea chemical reaction kwenye battery na hivyo battery kuzalisha umeme mwingi na stable kwa muda hadi ambapo chemikali za battery zitaisha nguvu
Hapo nakusoma mkuu nipe ujizi wa kutosha maana Giza kinaniathiri mkuu Kama Ni battery mbovu kesho nikatafute mjini au Ni battery lenye Hali gani linatakiwa mkuu ili nianze mradi wangu soon?
 
mkuu inaeleke nyumba yako ni mpya. Obviously haiwezi kuwa na choo chenye kinyesi cha kutosha. U beter wait for Tanesco
 
Penyeza rupia upate wepesi,bila hivyo utalalamika sana na haikusaidia,kwanza hapa unapoleta malalamiko unatumia fake ID,pia hujasema ulilipia wapi
Mkuu wewe ni mimi au?,nimelipia sasa huu mwezi Wa tatu lakini kila Mara napigwa kalenda tu,kwa kweli serikali inabidi iwamulike hawa tanesco kwa ukilitimba wao wao Wa kukaa na pesa za watu bila kutoa huduma.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Penyeza rupia upate wepesi,bila hivyo utalalamika sana na haikusaidia,kwanza hapa unapoleta malalamiko unatumia fake ID,pia hujasema ulilipia wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Mimi na akili timamu nitoe rushwa ili kupata umeme? Mi napenya mwenyewe suala lipo mezani soon nguzo zikitimba nawasha umeme Sina akili mbovu za kutoa rushwa kwa mtu anayelipwa mshahara kwa Kodi zetu.Umeangalia deni la Taifa linasoma ti ngapi?
 
Wakuu habarini za jumapili. Rejeeni mada hapo juu nipo dillema Sina umeme hapa nyumbani kwa miezi 5 Sasa toka nilipie nguzo Moja tanesco Kila Leo nguzo hakuna na watoto kusoma prepal Ni shida yaani hapa Ni kula na kulala tv mpaka kwa jirani Sasa choo kipo fresh tu naombeni mbinu za kutosha niunde umeme wangu wa kinyesi chetu hapa home ili tupate nishati ya umeme soon huku tukisubiri umeme wao.Nb.naomba kujua vifaa vipi vya huu mradi wangu mpaka umeme uwake kinyesi kipo ok abc nyingine ndo mtihani.KARIBUNI WADAU WA TEKINOLOJIA YA NISHATI YA UMEME.
Unahitaji umeme wa mwanga tu au mwanga,TV na kupikia? Nianze kujuaa mahitaji then nifuate badget

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom