Kuumwa na Tandu kuna madhara gani?

Kuumwa na Tandu kuna madhara gani?

Kideboy

Member
Joined
Aug 12, 2022
Posts
6
Reaction score
4
Nini madhara yakuumwa na tandu ubavuni?

IMG_20221115_033250.jpg
 
Huyu mdudu kwa story nilizokuwa nazisikia. Nilijua ni hatari zaidi ya nyoka.

Nilisikia akikupiga bite possibility ya kupona ni ndogo sana. Mara mwili unaoza, wengine wanasema unapararaiz ila hamna lolote
 
Huyu mdudu kwa story nilizokuwa nazisikia. Nilijua ni hatari zaidi ya nyoka. Nilisikia akikupiga bite possibility ya kupona ni ndogo sana. Mara mwili unaoza, wengine wanasema unapararaiz ila hamna lolote
Hakuna kitu, akikuuma utapata maumivu halafu baada ya muda fulani yatapotea tu. Ni sawa na nyuki
 
Ukienda hospitali utapewa dawa ya maumivu kama ibuprofen na antihistamine cream kutuliza hiyo inflammation ila ukikaza hata nyumbani yataacha tu
 
TANDU WA MILIMA YA UWANJI NDIO WANASIFIKA KWA SUMU KALI
 
Tandu ni hatari tena sana! Hao wanaouma na kukuachia maumivu ya kawaida na baadae yanaacha ni wadogo na wa kawaida, ila kuna msemo wa kiswahili unasema "mtoto wa nyoka ni nyoka" Tandu ni hatari kaka, labda siku zako hazijafika. Hawa tandu wa mjini hawana shida, ni wadogo sana!
Kwa mfano mbeya na mikoa mingine yenye baridi kuna ng'e ukimuona unaweza kukimbia kama sijui umeona kitu gani alivyo mkubwa kama kiganja cha mtu mzima, mkomavu na mweusi, unaambiwa sumu yake huchukui dakika 15... tandu anaweza kuishi zaidi ya mwaka na zaidi na tafiti hai zipo!... hata maabara wamo. Mwaka 2008 nilikwenda Mkoani kigoma kijiji kimoja kinaitwa Karago kwa ajili ya researches na rafiki zangu kadhaa wa kitasha (wazungu) kutoka nchini Finland, siku moja tumekaa karibia na kamsitu kadogo tumejivinjari tukiwa tumewasha moto na tukiwa tunapiga story huku tunachoma samaki..., dada mmoja wa kitasha akiitwa madeline akatushtua kwa sauti kali sana! Sitasahau kuona tandu mkubwa kama mkono wa mtoto let's say wa miaka minne au mitano akitokea kichakani akawa anapita zake... wale wazungu walishauri tusimuue tumchukue tumpeleke maabara. Sikutaka kushiriki niliogopa sana na mwili wangu ulikuwa ukisisimka kwa uoga na hofu... watasha wakamfunikaga na ndoo ya chuma ambayo nakumbuka tulikuwa tunaweke vinywaji na barafu ili viwe baridi na wakaweka kitu kizito juu yake lakini wakatoboa ile ndoo na bisibisi kali sana ili apate hewa..., kesho yake wakamweka kwenye chupa maalum lakini walimlewesha kwa hewa maalum kabla ya kumuweka kwenye kioo maalum (chupa) siku mbili mbeleni tukaanza safari ya kwenda kigoma mjini hotelini kisha tuchukue ndege ya Dar. Sasa sijui walimalizana nae vipi yule tandu, sikutaka tena kujua. Sasa imagine tandu mkubwa kiasi ile akikuuma utakuwa mzima kweli?! Na wao walikuwa wanataka kuifanyia utafiti ile sumu ambayo huenda atakuwa nayo yule tandu na wangeifanyia nini baadae...
 
Ungepaswa uwafwalie hao watasha utupe feedback maake stor yako tamu lkn imeishia nusu..bye the way nashkuru Mungu maumiv yamepngua ingawa bado yapo lkn sio kwa yale nloyapata dakk 5 baad ya kung'atwa ilikua mida ya saa 9 usk mpka nkaenda google effects of centipede katika kingdom animalia[emoji48] nilimponda kwa hasira mnoo
IMG_20221115_033320.jpg
 
Kuna watu ukisoma ushauri wap unaweza kufa sio kwasabab ya kuumwa n tandu ila kwa,sabb ya presha..wana maneno makalii
Ni kweli kabisa broo. Yaani mtu hajui lolote lakini anatoa maneno au komenti ya kumtia au kumjengea muathirika hofu kubwa na wasiwasi kiasi kwamba sasa tatizo linachukua sura nyingine kabisa linakuwa ni presha kwa muathirika. Niwaombe tu watoa komenti wa aina hiyo hebu wawe watulivu na wawaachie nafasi hiyo wataalam au wale wenye uzoefu na kilichotokea.Ni hayo tu -Asante.
 
TANDU WA MILIMA YA UWANJI NDIO WANASIFIKA KWA SUMU KALI
Mkuu; Je, wenyeji wanasemaje kuhusu tiba kwa mtu aliyeng'atwa na tandu hao? Naamini wenyeji (Wawanji au watu pale Chimala ) wana uzoefu fulani kuhusu hao tandu wenye sumu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom