Kuumwa kiuno na kushindwa kunyanyua miguu

totooo

New Member
Oct 25, 2016
2
20
Habari wanaJf wote.
Mimi ni mgeni humu. Ninaomba msaada wa ushauri wa kitabibu hata kimawazo tuu kwa tatizo hili linalomkabili ndugu yangu wa karibu jinsia ME

Yapata wiki ya 2 sasa alianza kusikia maumivu ya kiuno hakuhisi ni shida kubwa hivyo akaendelea na mishe mishe zake. Wiki hii hali ikawa mbaya zaidi hawez kutembea wala kusimama. Hosp Xrays and vipimo vya damu vipo clear yaan hana shida. Ila ndo haez kujiinua na hali yake inazid kuwa mbaya.

Amefanya MRI ila majibu bado mpaka jumatano ( as they say).
Hali imekua tete zaidi maana hawez tena kunyanyua mguu wake au kusogeze tuu.

Je hii hali inasababishwa na nini ? Na atumie nini kupunguza maumivu au apone kabisa?.
Tunaomba msaada members
Asanten
 
Mgito

Senior Member
Aug 1, 2016
167
225
Mkuu ktk jukwaa hili hili la doctor, kuna Dr anaitwa sajjad anajibu maswali ya Magonjwa yanayoulizwa, nenda mwanzo kabisa utakuta threads zake huko utajibiwa
 
MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,515
2,000
Habari wanaJf wote.
Mimi ni mgeni humu. Ninaomba msaada wa ushauri wa kitabibu hata kimawazo tuu kwa tatizo hili linalomkabili ndugu yangu wa karibu jinsia ME

Yapata wiki ya 2 sasa alianza kusikia maumivu ya kiuno hakuhisi ni shida kubwa hivyo akaendelea na mishe mishe zake. Wiki hii hali ikawa mbaya zaidi hawez kutembea wala kusimama. Hosp Xrays and vipimo vya damu vipo clear yaan hana shida. Ila ndo haez kujiinua na hali yake inazid kuwa mbaya.

Amefanya MRI ila majibu bado mpaka jumatano ( as they say).
Hali imekua tete zaidi maana hawez tena kunyanyua mguu wake au kusogeze tuu.

Je hii hali inasababishwa na nini ? Na atumie nini kupunguza maumivu au apone kabisa?.
Tunaomba msaada members
Asanten
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom