MtoMsimbazi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 2,076
- 3,564
kwanza shikamoo my dear sister...nimekumiss kweli
kwanza shikamoo my dear sister...nimekumiss kweli mimi bwana siwezi kumwaga mchele kwenye kuku wengi ila ajipe muda kwanza kabla ya kuanza mahusiano mengine..ujue muda unatibu mambo mengi ...time ni dawa sana kwa moyo uliovunjika
Mdogo wangu moja ya njia ya kuweza ku heal maumivu ya Mapenzi ambayo ipo reliable pia ni kuwa na mtu mwingine. Kikubwa kabla hujaingia katika mahusiano mapya walau kuwe na gap ya kutosha (kama ulivo sema 'TIME').
Ila naomba tu nikwambie kuwa kuna wengine miaka inapita but still wanakuwa bado... Hio time kwao inakuwa jina tu. Miaka inapita ila hali ya hew haibadiliki! Hawa watu huwaga hawana imani wala furaha...
Marhaba mdogo wangu... Pia nimeku Miss. Nimefurahi kukuona hapa...
sasa mdau mbona unanichanganya,,,,,????yaani anayenipenda simpendi halafu niseto nae HOW????The simple rule ni ukweli kuwa LOVE IS OVERATED. Unaempenda hakupendi,Usiempenda anakupenda. Jambo la msingi ni KUSETTLE na yule anayekupenda, kukuthamini na kukuona wa maana kwake, and learn to LOVE and APPRECIATE them in return. BAAAAAAAAAAAAAAAAASI!!!!!.
mie mzima kabisa dada sijui wewe. sitaki Smile aseme manake atakuja na -ve perceptions ambazo nimejitahd sana kumkanseli aziache lakin bado. siku hizi natumia njia ngumu kumfundisha ili aelewe.
dada yangu hapo kwenye blue sababu zipo na hizi ni kama zile nilizoainisha hapo juu. nimejaribu sana kufuatilia watu ambao time doesn't heal them nikagundua kwamba huwa ni chuki imetawala mioyo yao. na chuki hii huletwa na mambo lukuki nafsini mwao.
The simple rule ni ukweli kuwa LOVE IS OVERATED. Unaempenda hakupendi,Usiempenda anakupenda. Jambo la msingi ni KUSETTLE na yule anayekupenda, kukuthamini na kukuona wa maana kwake, and learn to LOVE and APPRECIATE them in return. BAAAAAAAAAAAAAAAAASI!!!!!.
Labda niongezeee kidogo ya ashadii
kabla ya kufika huko unatakiwa kujua tatizo hasa ni nini mpaka mnafikia huko..ni muhimu kuttatua src ya tatizo na si tatizo lenyeewe..unapoenda nje ya ndoa kisa mwenzio akufurahishi kwenye utashi basi ujue kuna mwingine ataridhika nae na unapoaana ameanza kubadili nguo za 20000 kwenda lakimoja hapo na wewe unaamka kumbe kuna mtu anampenda la hasha wengine wanasema pepo wengine shetan lakini naamini shetan kwenye ndoa ni wewe mwenyewe..kweli kuna wanaokaidia na kuwa magube gube mpaka unatamani kujiua lakini kaachini tatizo ni nini???...mengine atamaliza ma sis ad.