M Mokoyo JF-Expert Member Joined Mar 2, 2010 Posts 15,145 Reaction score 5,573 Jan 12, 2015 #21 sijaelewa chochote
mfawidhi JF-Expert Member Joined Nov 11, 2014 Posts 248 Reaction score 268 Jan 12, 2015 #22 BILLY BLANCE said: Eti mimba huonekana baada ya mda gani na ina dalili kama za kuona mwezi kwa mwana mke Click to expand... Shule zimeanza kufunguliwa,hawa wanafunzi waliojichanganya wakati wa likizo za mwisho wa mwaka wanahaha sana. Ushauri wangu, njia za uzazi wa mpango kwenu ni mapema sana kwa umri wenu, mnajitafutia madhara makubwa huko mbeleni
BILLY BLANCE said: Eti mimba huonekana baada ya mda gani na ina dalili kama za kuona mwezi kwa mwana mke Click to expand... Shule zimeanza kufunguliwa,hawa wanafunzi waliojichanganya wakati wa likizo za mwisho wa mwaka wanahaha sana. Ushauri wangu, njia za uzazi wa mpango kwenu ni mapema sana kwa umri wenu, mnajitafutia madhara makubwa huko mbeleni